Elections 2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

Elections 2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

Wanaulanga msikubali hilo sio Jimbo la kifalme. Ina maana Ulanga yote haina msomi au mtu yeyote aliyemaliza form 4 au anayejua kusoma na kuandika?

Msikubali, msikubali hii ni fedheha. Haiwezekani hata angekuwa Ukawa, hamna kukubali bora mkose mwakilishi sio ubunge wa kifalme.

Kumbe wasio wasomi hawatakiwi kuwa viongozi eeh?
 
Mambo kama haya ni mojawapo ya vitu ambavyo tunatakiwa kuvifanyia mabadiliko. Maana itafikia wakati hii Nchi inaweza kugeuka kuwa ya kifalme kwa kurithishana uongozi serikalini tu. Baba akistaafu anamuweka mtoto wake, mpwa wake, mkewe, mjukuu wake, nk. Sasa si upuuzi huu. Na ndio maana uchumi wa Nchi upo mikononi mwa wachache kutokana na mambo kama haya.

Kombani hajastaafu, amefariki!
 
Watu wengine bana.... Yaani mama amefariki hajamaliza hata siku 40, mtoto yuko busy na siasa
 
Haya ndio mambo tusiyoyataka aisee, na hili dubwasha sijui kama Magufuli ataliweza, limezeeka sana, linafanya mambo kwa mazoea aisee
 
alifuraia mama kufa ili arisieee,,, hapa tunataka mabadiliko na so kurisishana vyeo majimboni
 
Chonde chonde asilete tu matusi kama mama yake maana siku hizi tumeamua kuwasomea Albadil wote wenye kuleta fitna na maneno ya karaha.
 
Hiki chama chetu bana ndo shida yake, kimebaki cha watu wale wale, wengine tunasindiliza tu, AMA KWELI CCM INA WENYEWE, lakini tutakidai chama chetu kwa nguvu, humu humu ndani, kama ni uanachama mtuvue, hii haingii akilini kabisa
 
Daaaaahhhhhhh!!!!!!!!!!!

nchi ya Kifalme hii. Mambo ya kurithi kila kona.

CCM, CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,

Endapo kama kiongozi wa CCM akifariki na kuacha mtoto mdogo wa Nursery School, bila shaka atamrithi mzazi wake ingawa umri mdogo.


 
All the best goodluck dogo anajitambua sana I know him yangu mzumbe he can aiseee
kwani wewe ndio kipimio cha uelewa hata tukubali kuwa huyo dogo yuko vizuri?
 
Ccm bana.... Kama baba/mama, babu/bibi hajawahi au hana cheo na we ni mwanachama sahau kuhusu kuwa Kiongozi. Mwingine katengwa Vunjo mbele ya wapiga kura
 
Sasa Hizo ni kufuru na Uchu wa ajabu ..inaonekana huyu alianza kupiga kampeni toka mama Yake alipogundua tu kuwa hawezi kupona Baada ya vipimo India ..
Kwa Mila za kiafrika haiingiii akilini marehemu Hana hata wiki Moja kaburini alafu mwanaye anaenda kupiga kampeni za ubunge ....sembuse kushinda......
 
Back
Top Bottom