Elections 2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

Elections 2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

ETI...
Kikwete ana kazi ya kumnadi mwanae (Riz1)
Samwel Sita nae anakazi ya kumnadi mkewe (Magreth)
Makamba nae anakazi ya Kumnadi Mwanae (January)
Warioba anakazi ya kumnadi mwanae (Kippi)
Mwinyi anakazi ya kumnadi mwanae (Hussein).

Full ndugu naization

Hivi sisi ndo watawaliwa tuu...

TAFAKARI, HALAFU CHUKUA HATUA ✌✌✌✌
 
#na hii ni Tanzania niitakayo, yenye walalamikaji, wakandamizwaji wasiotaka kutumia visu vyao kufanya maamuzi. No wonder no.8 had to leave. #na hii ni Tanzania niitakayo.
 
Sasa Hizo ni kufuru na Uchu wa ajabu ..inaonekana huyu alianza kupiga kampeni toka mama Yake alipogundua tu kuwa hawezi kupona Baada ya vipimo India ..
Kwa Mila za kiafrika haiingiii akilini marehemu Hana hata wiki Moja kaburini alafu mwanaye anaenda kupiga kampeni za ubunge ....sembuse kushinda......

ni kweli mkuu....kwanza ni kitendo cha kushangaza
 
Mwee haya ni maajabu ya dunia, mama mzazi kafariki hata 40 bado tayari mtoto yupo busy na siasa....!
 
Wanaulanga msikubali hilo sio Jimbo la kifalme. Ina maana Ulanga yote haina msomi au mtu yeyote aliyemaliza form 4 au anayejua kusoma na kuandika?

Msikubali, msikubali hii ni fedheha. Haiwezekani hata angekuwa Ukawa, hamna kukubali bora mkose mwakilishi sio ubunge wa kifalme.

Imagine hata mama Hana wiki kaburini....kijijini tunasema Baada ya 40 ..tumbo likimaliza kupasuka ...ndio Ndugu wanaweza kufanya jambo Kama hili ...
 
ni kweli mkuu....kwanza ni kitendo cha kushangaza

Kwa Mwendo huu huenda hata Hizo fununu za Kigoda ...ni kuwapa kina Omar Kigoda muda wa kufanya kampeni ili ikitangazwa naye ...wanapiga kura za maoni ....Siku Mbili Hizi naona Omari na range lake busy na kampeni badala ya kumfikiria baba Yake ambaye yuko kwenye death bed ......,ulafi ulafi ulafi
Ni karma wale waliomuuwa Said BwanaMdogo ..Mungu anawaona !!!!...na walianza kujipitisha Wakati BwanaMdogo yuko kwenye death bed
 
Uzuri watanzania wa sasa wengi wanajitambua,kurithishana kiivo Arumeru mashariki walikataa 2012 na kuamua kumchagua Joshua Nasar naamini Ulanga pia wataamua kwa usahihi maana hii ni demokrasia na sio kurithishana namna hiyo
 
Wanarisishiana majimbo kama wanavyolisishiana mashamba , daaaa kwel mtu wa kawaida nchi kutoboa lazima ujipange
 
Haya ndiyo mambo ambayo watanzania wameyachoka na ndiyo maana wanataka mabadiliko, inaonekana kipondo alichowapa mh. Nasari kule arumeru bado hakijawatosha

Unaongelea nassari unasahau mgimwa?
 
huyo mtt bora aliache tu hilo jimbo atanguka apate pressure bure amfuate mamake huo ukolon ulisha mtt acha usenge hata arobaini ujatimiza unakimbilia vyeo kweli ccm ukoo wa panya
 
CCM ina utawala wa kichifu, wanarithishana. Malofa kazi yao kuwashabikia tu mbele kwa mbele
 
Acheni uzushi jamani, kudisko mzumbe mbona kitu cha kawaida kwa watu wanaojua maisha. Kwani kudisko ndo mtu asijihusishe na issues za kijamii?

Wekeni picha za kudisko basi
 
Wanaulanga msikubali hilo sio Jimbo la kifalme. Ina maana Ulanga yote haina msomi au mtu yeyote aliyemaliza form 4 au anayejua kusoma na kuandika?

Msikubali, msikubali hii ni fedheha. Haiwezekani hata angekuwa Ukawa, hamna kukubali bora mkose mwakilishi sio ubunge wa kifalme.

Kwani CCM kuna waelewa!? Wao wakipewa shirt na kofia bila chupi utayasikia; CCM ni ile ileeeee....ni ileileeeeee.
 
Jimbo la ulanga mashariki, kupitia chama cha mapinduzi limepata mgombea mwingine wa kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye ngazi ya ubunge. Anaitwa Goodluck mlinga miaka 33 ndo atakayerithi mikoba ya marehemu celina kombani.
 

Attachments

  • 1444387149711.jpg
    1444387149711.jpg
    52.1 KB · Views: 453
Huyu mtoto wa marehemu hata arobaini ya mama yake aija isha kashaanza siasa? kweli madaraka matamu.....
 
Back
Top Bottom