Wanaulanga msikubali hilo sio Jimbo la kifalme. Ina maana Ulanga yote haina msomi au mtu yeyote aliyemaliza form 4 au anayejua kusoma na kuandika?
Msikubali, msikubali hii ni fedheha. Haiwezekani hata angekuwa Ukawa, hamna kukubali bora mkose mwakilishi sio ubunge wa kifalme.
Mambo kama haya ni mojawapo ya vitu ambavyo tunatakiwa kuvifanyia mabadiliko. Maana itafikia wakati hii Nchi inaweza kugeuka kuwa ya kifalme kwa kurithishana uongozi serikalini tu. Baba akistaafu anamuweka mtoto wake, mpwa wake, mkewe, mjukuu wake, nk. Sasa si upuuzi huu. Na ndio maana uchumi wa Nchi upo mikononi mwa wachache kutokana na mambo kama haya.
Kumbe wasio wasomi hawatakiwi kuwa viongozi eeh?
Kombani hajastaafu, amefariki!
All the best goodluck dogo anajitambua sana I know him yangu mzumbe he can aiseee
kwani wewe ndio kipimio cha uelewa hata tukubali kuwa huyo dogo yuko vizuri?All the best goodluck dogo anajitambua sana I know him yangu mzumbe he can aiseee