Sasa Hizo ni kufuru na Uchu wa ajabu ..inaonekana huyu alianza kupiga kampeni toka mama Yake alipogundua tu kuwa hawezi kupona Baada ya vipimo India ..
Kwa Mila za kiafrika haiingiii akilini marehemu Hana hata wiki Moja kaburini alafu mwanaye anaenda kupiga kampeni za ubunge ....sembuse kushinda......
Wanaulanga msikubali hilo sio Jimbo la kifalme. Ina maana Ulanga yote haina msomi au mtu yeyote aliyemaliza form 4 au anayejua kusoma na kuandika?
Msikubali, msikubali hii ni fedheha. Haiwezekani hata angekuwa Ukawa, hamna kukubali bora mkose mwakilishi sio ubunge wa kifalme.
ni kweli mkuu....kwanza ni kitendo cha kushangaza
Philemon you can do better than thisNi karma wale waliomuuwa Said BwanaMdogo .
Haya ndiyo mambo ambayo watanzania wameyachoka na ndiyo maana wanataka mabadiliko, inaonekana kipondo alichowapa mh. Nasari kule arumeru bado hakijawatosha