Elections 2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

huyo Godluck namjua nilisoma nae CBE Dodoma ni mvuta bange mzuri sana nani bonge la kilaza, alifutiwa matokeo yote mwaka wa mwisho 2011 baada ya kubainika alimpa mwanachuo mwenzake pesa ili amfanyie mitihani na baada aliekuwa anamfanyia mitihani kukamatwa wote wawili walifutiwa matokeo...hamna kitu hapo polen sana wana ulanga mmelamba GALASA hapo
 
kingunge hakukosea alivyosema ccm imebinafsishwa,mtoto naye anarithi jimbo!
 
Mtoto wa celina kombani Goodlucky Mtinda,33 ateuliwa kugombea ubunge ulanga mashariki,kupitia ccm,kama ni kweli tutasubiri tu utaratibu toka NEC wa tarehe ya uchaguzu.
 
ulitaka awe nani Sera ya ccm no ile ile Mgimwa kafa kapewa mtoto .Sumari .Malima. ndiyo Sera angalia Kikwete Riz 1 Makamba. January Warioba.Kippi Sita kwa make wake hiyo no sera
 
Ccm inawenyewe,wengine mnashobokea tu mtatolewa kafara kwa umaskini wenu
 
Dawa ni kumpiga chini tu, hakuna cha kura za huruma. Wana Ulanga iepukeni hii dharau.
 
Kila mtu ana haki kikatiba, kama amegombea na akapata kura za kutosha ni haki yake, sasa ukisema ni ufalme unakua ujamtendea haki yake ambayo ni ya msingi kisheria, hata wew kama upo chama chochote nawe una haki ya kushiriki ktk siasa kugombea, kuchagua ni haki yako
 

una undugu na mdau humu anaitwa GENTAMYCINE mkuu au mmefanana mwandiko?
 
Last edited by a moderator:
Msingi wa utumwa umejengeka katika akili za watumwa wenyewe!
 
Huu mfumo wa kindugu utaisha lini?kwani hakuna wasomi wengine..!

hiyo ni zarau kwa wananchi kwa maana nyingine wanachi watoto wao wabaki wapiga kura tu hawafai kua viongozi


usichukie ndugu hiyo ndio syestem hata rais akifa chama kitapendekeza mtoto wake amrithi sijui ni lini makada wafia chama kama ndugu yangu polepole watapewa nafasi kama hizo.


Hii ndiyo desturi ya CCM?.

Kifo cha Sumari, Mgimwa na leo Kombani nafasi za kugombea wanapewa watoto wao

wanapeana ulaji,kwani huko ulanga hakuna mtanzania mwingine anaeweza kuongoza??ndio maana tunasema hii tanzania ni ya wote hii siyo ya kufalme..


kingunge hakukosea alivyosema ccm imebinafsishwa,mtoto naye anarithi jimbo!

Mzee Kigunge ni sahihi.

ulitaka awe nani Sera ya ccm no ile ile Mgimwa kafa kapewa mtoto .Sumari .Malima. ndiyo Sera angalia Kikwete Riz 1 Makamba. January Warioba.Kippi Sita kwa make wake hiyo no sera

Ccm inawenyewe,wengine mnashobokea tu mtatolewa kafara kwa umaskini wenu

Ukisikia ccm ina wenyewe ndio uelewe,ccm ni ya wenyewe..

Dawa ni kumpiga chini tu, hakuna cha kura za huruma. Wana Ulanga iepukeni hii dharau.

nawasikitikia sana wale wanaopanga kuipigia kura ccm..

Ha ha haa...!
Haya wote sasa na tuimbe kwa pamoja huku tukikatika mauno......
Ccm ni ileile oohh ni ileileee, tumejipanga mwaka huu wataisomaaaaa!

AKILI ZA BAADHI YA watanzania wenzetu inabidi zichunguzwe, na ndio maana ccm bado ina kiburi inajuwa uchawi waliouweka kwenye mwenge wa uhuru hauwezi kuwatoka leo wale ambao report fake ya Twaweza inaonesha wasiokuwa na elimu 60% wanashabikia ccm.

Naunga mkono kipaumbele cha Mzee cha ELIMU ELIMU ELIMU inahitajika sana Tanzania hata kwa wanaojidhani ni magraduate vichwani wamejaa funza.

Nilikuwa sijui ni kwa nini Ujerumani hawatambui degree za TANZANIA MPAKA USOME KWAO, sasa nina majibu sahihi why.
 
All in all lakini kwa kweli kilichofanyika katika hili sio kabisa tuache ushabiki
kwani kombani alikuwa pekee katika kura za maoni? kwa nini wale walioomba pamoja na marehemu ndo wangekuwa considered?
fucked up,,,,,,,,,,,
 
Kweli kabisa ndio maana Mzee Kingunge alisema katiba imechezewa wacha kuwa Wa nursery nadhani hata mimba
 
mkiambiwa chama kimebinafsishwa mbabisha oneni sasa hongera mzee kingunge kukataa kuuzwa kama kondooo
 

tatizo sio kugombea hebu tuambie alishiriki kura za maoni? na kama alishiriki alishika nafasi ya ngapi? ukinijibu tutaenda sawa ukishindwa utakua mmoja wao unaesubiri baba afe chama kikupe fadhila
 
wananchi watamfanya kama walivyomfanya Siyoi Sumari, na Mungu amewafanya ccm wasijifunze kwa makosa yao ili wananchi wazidi kukasirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…