Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

Ukitaka kujua tabia za wachaga wakipewa madaraka nenda CRDB. Hawa jamaa siku wakishika madaraka makubwa serikalini kama vile urais wanaweza kuleta machafuko makubwa sana kwa sababu ya ukabila.
Kama ilivyo kwa sass
 
Kasoma wapi shahad yake ya kwanza na je ameajiriwaa crdb. Au wapi
 
Mimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Na hiyo migari ni michango ya aliowapa mikopo ya kishikaji hao wenzake
 
Na izo zawadi watakazotunzwa hapo nikipewa mie ni mtaji tosha na life natusua naaga umasikini kabisaa
Ukisikia mambo mengi muda mchache ndio hapo.Hapo watu wanataka kujiachia wakitoa zawadi zao,unaweza ukakuta walio jiandikisha kwa Dj kutoa zawadi wamejaza Counter Book Quire 2.
 
Watu wa Nangurukuru naona mmekasirika Maaskofu watatu kuhudhuria kanisani wakat wa kufungisha ndoa ya mtoto was Dr. Kimei (PhD). Tusubirini mtoto wa CEO wa Radio Imaam au ile benki pendwa.
hahahaha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Somo la communication skills, wanachuo wengi wanalidharau lakini lina umuhimu.
Yaani hata Dr. Kimei hajui namna ya kuandika barua!!!!
Hata siku moja usiweke jina lako kwenye anwani yako, Jina litaonekana mwishoni tu. Kwa mfano andika hivi:

c/o 21819,
Dar es Salaam.

Ndio baada ya hiyo complimentary close Wako DOKTA KIMEI...

Vijana msidharau hilo somo tafadhali. Hiyo barua ina makosa sana.

Povu ruksa. Halafu nimesahau kuwa ni uzi wa harusi uwiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…