mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hela zitafutwe ki kweli kweli.Urafiki upi huo zaidi ya pesa?!
Achana na kitu inayoitwa pesa mzee, wachungaji, baba paroko, Katekista, masheikh wote watakua rafiki zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela zitafutwe ki kweli kweli.Urafiki upi huo zaidi ya pesa?!
Achana na kitu inayoitwa pesa mzee, wachungaji, baba paroko, Katekista, masheikh wote watakua rafiki zako
Kama ilivyo kwa sassUkitaka kujua tabia za wachaga wakipewa madaraka nenda CRDB. Hawa jamaa siku wakishika madaraka makubwa serikalini kama vile urais wanaweza kuleta machafuko makubwa sana kwa sababu ya ukabila.
Achana na RCSijawahi kuona maaskofu wa RC wanafungisha ndoa chilia Mbali maaskofu kadhaa kukusanyika kufungisha ndoa kwa RC sijawahi ona sijui ni kwanini.
Ila Mh.Komba alikua na wake wawili na alizikwa na RC bila shida yoyote ile.Achana na RC
Hawana biashara za kupapatika kbs
Wanaenda kwa sheria za kanisa lao
Na hautakua mkubwa kamweee kama unataka mpk diamond jubilee iwe yako tu kwa ajili ya harusi.Nikiwa Mkubwa nataka nifunge Ndoa ya aina hii, vyote humo visiwe vya kukodi, viwe vyangu!
Na hiyo migari ni michango ya aliowapa mikopo ya kishikaji hao wenzakeMimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Pesa sabuni ya rohoNamuona Shoo, Malasusa na mwingine sijui nani. Hivi ni kawaida hii ndoa kufungwa na wakuu wote hao?
Ukisikia mambo mengi muda mchache ndio hapo.Hapo watu wanataka kujiachia wakitoa zawadi zao,unaweza ukakuta walio jiandikisha kwa Dj kutoa zawadi wamejaza Counter Book Quire 2.
Wabongo mpo very Negative, mnahisi kila kitu hakiwezekani!Na hautakua mkubwa kamweee kama unataka mpk diamond jubilee iwe yako tu kwa ajili ya harusi.
Mkuu,umeandika point nzuri sana na ni ukweli mtupu.
Hawa ndio wanatujengea makanisa,wapewe heshima.
hahahahaWatu wa Nangurukuru naona mmekasirika Maaskofu watatu kuhudhuria kanisani wakat wa kufungisha ndoa ya mtoto was Dr. Kimei (PhD). Tusubirini mtoto wa CEO wa Radio Imaam au ile benki pendwa.
😂😂Naomba uendelee kutu update na ukumbini maana sie tulio mbali na upeo wa jiji la daisaama tutashiba kwa macho na wikiendi kuwa murua kabisa.
Hongera kwa wazazi na kijana, binti muolewaji ajiandae kisaikolojia kuishi kwenye ndoa na si kupanga na kudhibiti mali alizonazo mumewe au kumdhibiti mumewe au kumpangia arudi saa ngapi nyumbani.
Mweeh nyege hizi,Hata sijui nimeandika nini wakati.....
Nawatakia maharusi Mahaba telee.
Sawa mchina,hebu fanya iwe positive.Wabongo mpo very Negative, mnahisi kila kitu hakiwezekani!
Nimefurahishwa na jinsi ulivyoandika!Kipi kikuchekeshacho...???!
Mweeh nyege hizi,Hata sijui nimeandika nini wakati.....