Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hii hali sijui inaisha lini huzuni sana sana
Mtoto wa darasa la nne amebakwa na kijana mmoja akielezea kama una mtoto wa kike unaliaa
Mtoto anasema alichukuliwa akapelekwa nyumba moja alipoanza kulizia kuna nn kijana alimtisha ukisema kwa watu nakunyonga
Kijaana akaanza kufanya anayotaka mtoto akapiga kelelee akamwachia..Na kumtishia
Mama wa mtoto amesikitika hakujua kabisa mpaka alipomwona mtoto vipi ana tembea kuchechemea ndipo wakambana na kukiri aliguswa na mtu fulan
Baadhi ya wananchii wamesemaa huyu mtoto wa pili kubakwa mtaani kwao ajabu wa kwanza alipelekwa kupimwa akakamatwa mhalifu badaye wanamwona mtaani na wakiulizia wanambiwa uchunguzi haujakamilika
Kama wananchi wanakata tamaa saaana na hiki kitu uchunguzi haujakamilika kila siku...
Eeh Mungu tusaidie