Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yupo on line akifwatilia channel 10Dkt. Gwajima D anazo hizo habari?
N kweli ila uhuru wa mtoto usiwaruhusu kuongezeka wabakaji mkuu wanapoelekea wananchi watachoka na watamalizana nao hata haya ya kusubiria wanahukumiwa lini hawataihitajiWa mama mjitafakari na malezi ya watoto weno mnawalea kwa kuwapa uhuru sn watoto wenu tunawaona mtaani wanafanya hy mambo unakuta tayari mtoto alishakuwa anatumika muda tu na mama hujui ila nyie mkishagundua ndio kesi polisi mtoto kabakwa haiwezekani avutwe huko barabarani asilie aende ndani apige kelele watu wasisikie afike nyumbani asiseme mpk hy mama aone anatembea tofauti ndio ajuee badee msingizie alibakwa hy alishakuwa anatumika nakia na wa mama wengi mnalea watoto wakikike kwa uhuru sn