Mtoto wa Elon Musk aliyebadili jinsia na kuwa binti, ataka kubadili jina kuepuka uhusiano na baba yake

Binti wa tajiri Elon Musk aliyebadili jinsia yake amewasilisha ombi la kubadilisha jina lake kulingana na utambulisho wa jinsia yake mpya na kwasababu anasema "Siishi au nisingependa kuwa na uhusiano na baba yangu mzazi kwa njia yoyote ile, kwa umbo au muundo ."

Ombi la kubadilisha majina yake yote mawili na kupata cheti kipya cha kuzaliwa kinachoonyesha utambulisho wa jinsia yake mpya liliwasilishwa kwa Mahakama ya juu zaidi ya Kaunti ya Santa Monica mwezi Aprili. Taarifa hii ilijulikana hivi karibuni kupitia baadhi ya mitandao ya habari ya kijami.

Mtoto huyo Bw Elon Must ambaye awali alijulikana kama Xavier Alexander Musk, ambaye hivi karibuni alitimiza umri wa miaka 18, umri ambao ni umri wa utu uzima katika California, ameiomba mahakama ibadili utambulisho wa jinsia yake kutoka ya kiume na kuwa ya kike na kumsajiri kwa jina jipya, kulingana na nyaraka za mahakama zinazopatikana kupitia mtandao wa PlainSite.org.

Jina lake jipya liliondolewa katika waraka wa mtandao. Mama yake ni Justine Wilson, ambaye alitaliakiana na Musk mwaka 2008.

Hakuna maelezo kuhusu nini kilichosababisha kutoelewana baina ya Bw Musk na binti yake.

Chanzo BBC Swahili

View attachment 2267472
bila picha habari haijakamilika
 
Nimepoteza heshima yote kwa musk na ni aibu kubwa, kayalea vibaya hayo matoto.
Kategemea amepata jembe lije kurithi mikoba yake matokeo yake kumbe amepata hasara na ni vizuri aondoe jina la mzee wake ili asiendelee kudharirika.

Huu ni zaidi ya msiba kwa mzazi na ndio maana ni vizuri kuwalinda watoto na utandawazi na machafu ya dunia.

Just imagine warembo wangekuwa wanamshobokea kwa pesa za mzee!! angekamata celebrity yoyote yule hollywood bila hata ya kuuliza mara mbili.
 
Mbona una mauchungu sana wakati Elon mwenyewe hajui hata jina lako!

Kwani cocastic anasemaje?
 
Hivi wakibadilisha jinsia n kuwa ya kike wanakuwa na kinembe au?maana najaribu tunkufikiri utamu wanaupata vp
 
Nimepoteza heshima yote kwa musk na ni aibu kubwa, kayalea vibaya hayo matoto.
Kategemea amepata jembe lije kurithi mikoba yake matokeo yake kumbe amepata hasara na ni vizuri aondoe jina la mzee wake ili asiendelee kudharirika.

Huu ni zaidi ya msiba kwa mzazi na ndio maana ni vizuri kuwalinda watoto na utandawazi na machafu ya dunia.

Just imagine warembo wangekuwa wanamshobokea kwa pesa za mzee!! angekamata celebrity yoyote yule hollywood bila hata ya kuuliza mara mbili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kunywa maji mengi na upumzikee.
Yakizidi sana muone Daktari. Lol
 
Ushoga ni laana.

Laana hii haimuachi mtu salama katika jamii.

Mtoto wa mtu aliye tajiri kuliko mtu yeyote, amemkataa baba yake wa kumzaa kwa vile anajiona yeye ni shoga au trans sexual.

Binti huyo ameenda mahakamani kumkataa baba yake Elon Musk kuwa hataki kuwa na uhusiano naye kwa hali yoyote ile.

Mungu atawanyoosha tu taratibu.
 
Nimepoteza heshima yote kwa musk na ni aibu kubwa, kayalea vibaya hayo matoto.
Kategemea amepata jembe lije kurithi mikoba yake matokeo yake kumbe amepata hasara na ni vizuri aondoe jina la mzee wake ili asiendelee kudharirika.

Huu ni zaidi ya msiba kwa mzazi na ndio maana ni vizuri kuwalinda watoto na utandawazi na machafu ya dunia.

Just imagine warembo wangekuwa wanamshobokea kwa pesa za mzee!! angekamata celebrity yoyote yule hollywood bila hata ya kuuliza mara mbili.
He doesn't even know and he'll never know you maisha yako yote!
Yani kwa kifupi usi mind mchongo pambana na hali yako
 
Mambo ya upinde wa mvua hayo.
Shetani yupo kazini anazidi kujizolea wafuasi wake
 
Kafanya kitu cha kisenge sana huyo dogo ila tatizo ni hizi shule za boarding wanazopelekwa wakiwa na miaka 2 wakikutana na walimu aina ya Gabriel lazima wafikirie kubadili jinsi
 
Back
Top Bottom