Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

Habari wadau.

Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu.

Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST.

Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na ACT ambayo scores zake ndizo kipimo kinatumika kuingia vyuo vikubwa marekani na vyuo vikuu vya nchi kubwa zilizoendelea kama oxfords etc. Maksi alizopata chuo kikuu namba 1 duniani kinachoitwa MIT kilimpa admission with full ride scholarship.. yaani kila kitu buree kazi yake kusomaa tu.

Cha kushangaza mtoto huyo alikataa hiyo offer ya MIT kwa sababu alipaswa aende kufundishwa jinsi ya kuendesha biashara za familia yao huko nchini india.

Tangu shule ya IST imeanzishwa hakujawai kutokea mwanafunzi wa ki Tanzania aliyekataa full ride scholarship ya chuo kikuu cha ivy league zaidi ya huyo mtoto wa Gullam Dewji.

Najiuliza tu hivi kuna mzazi Tanzania ama Mtoto anaweza kataa mwanae asiende kusoma hata udsm tu sababu anapaswa kufundishwa biashara ya familia ?

ARWA GULLAM ABASS DEWJI alishangaza mpaka walimu wa IST kwa hiyo jeuri.

View attachment 2337842
Nimeona jina la mchaga na muhaya hapo kwa fursa tu [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kupanga ni kuchagua unaweza kuona hilo ni la maana na linafaa ila ni Utumwa wa Aina fulani...

To each his/her Own..., hata wewe usimlazimishe mtoto dreams zake kama yeye anapenda uchunguzi, sayansi au kuitumikia jamii usimlazimishe aende kucheza mziki / sinema sababu wewe ndio unapenda..., au usimpe majukumu ya kuendesha empire wakati hio sio Dream yake...

After all ukitengeneza empire kubwa utaajiri experts sio lazima CEO awe damu yako, na kampuni ikiwa kubwa sana hata kama ni family business utakuta the bigger it becomes the lesser it becomes family dependent....

Moral of the story haya maisha ni ya kuishi (enjoy) na unapoweka shinikizo even something which would have been enjoyed inaweza ikawa mateso.... (Yaani, Biashara haikufanyii wewe tena kazi bali wewe ndio unaifanyia)
 
Habari wadau.

Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu.

Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST.

Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na ACT ambayo scores zake ndizo kipimo kinatumika kuingia vyuo vikubwa marekani na vyuo vikuu vya nchi kubwa zilizoendelea kama oxfords etc. Maksi alizopata chuo kikuu namba 1 duniani kinachoitwa MIT kilimpa admission with full ride scholarship.. yaani kila kitu buree kazi yake kusomaa tu.

Cha kushangaza mtoto huyo alikataa hiyo offer ya MIT kwa sababu alipaswa aende kufundishwa jinsi ya kuendesha biashara za familia yao huko nchini india.

Tangu shule ya IST imeanzishwa hakujawai kutokea mwanafunzi wa ki Tanzania aliyekataa full ride scholarship ya chuo kikuu cha ivy league zaidi ya huyo mtoto wa Gullam Dewji.

Najiuliza tu hivi kuna mzazi Tanzania ama Mtoto anaweza kataa mwanae asiende kusoma hata udsm tu sababu anapaswa kufundishwa biashara ya familia ?

ARWA GULLAM ABASS DEWJI alishangaza mpaka walimu wa IST kwa hiyo jeuri.

View attachment 2337842
Harafu Hawa Wahindi na Wasomalinawaita Watzn ,pumbavu.
 
Wanaitwa wa Tanzania wenye asili ya India.

Ukoo wa Mo dewji ni wa Tanzania hadi ubunge wanagombea na kushinda
Ni upuuzi kuwapa fursa ya madaraka,hao sio Watz ndio maana wako na mahaba na India kwao kuliko Tanzania..

Huku wanachuma.kama shamba la Bibi tuu.
 
Habari wadau.

Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu.

Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST.

Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na ACT ambayo scores zake ndizo kipimo kinatumika kuingia vyuo vikubwa marekani na vyuo vikuu vya nchi kubwa zilizoendelea kama oxfords etc. Maksi alizopata chuo kikuu namba 1 duniani kinachoitwa MIT kilimpa admission with full ride scholarship.. yaani kila kitu buree kazi yake kusomaa tu.

Cha kushangaza mtoto huyo alikataa hiyo offer ya MIT kwa sababu alipaswa aende kufundishwa jinsi ya kuendesha biashara za familia yao huko nchini india.

Tangu shule ya IST imeanzishwa hakujawai kutokea mwanafunzi wa ki Tanzania aliyekataa full ride scholarship ya chuo kikuu cha ivy league zaidi ya huyo mtoto wa Gullam Dewji.

Najiuliza tu hivi kuna mzazi Tanzania ama Mtoto anaweza kataa mwanae asiende kusoma hata udsm tu sababu anapaswa kufundishwa biashara ya familia ?

ARWA GULLAM ABASS DEWJI alishangaza mpaka walimu wa IST kwa hiyo jeuri.

View attachment 2337842
Jamii ya Waasia wana mtazamo tofauti sana wa elimu ya Chuo tofauti na sisi Wamatumbi. Ndio maana hata hapa kwetu wengi wakimaliza form Six ni nadra sana kuwakuta wanahangaika kwenye vyuo vyetu hivi na hata wale wachache wanaofanikiwa kuingia kwenye hivi vyuo vyetu mara nyingi kuna aina fulani ya Course wanazosoma na hata wakimaliza huwezi kuwakuta wanahangaika na bahasha za Kaki kama sie.
Hata wasomali pia. Wafuate pale Kariakoo mwenye maduka yao ya Computer wachokoze hata na English tu ndio utashangaa hata usijue wamesomea wapi na lini.. Kuna ujanja ambao wenzetu wanao sisi bado hatuna.
Tujitafakari
 
Back
Top Bottom