Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

Huo ni ujasusi wa kiuchumi, walijua yeye ni mtoto wa nani na manufaa gani wangepata kwa kuwa na mwanafunzi wa hivyo.
 
tatizo lako una fikra za kiafrika, yeye anafikra za kihindi, kwahiyo huwezi kuona ambacho kingempungukia.
Na hivyo ndugu zake wamejazana kariakoo wanauza viatu na vitambaa vya sare kwenye maduka ya urithi lazima nione tofauti. Mimi nimelelewa kutegemea cha kwangu ndo maana nawaza tofauti
 
Back
Top Bottom