Sijui kwa nini ziliondolewa mkuuZamani kulikuwa na zile 'National Geographic science competitions' za India kwa wanafunzi wa rika mbali mbali. Hapo ndiyo ulikuwa unaona tafauti kati ya wanafunzi wetu na wahindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwa nini ziliondolewa mkuuZamani kulikuwa na zile 'National Geographic science competitions' za India kwa wanafunzi wa rika mbali mbali. Hapo ndiyo ulikuwa unaona tafauti kati ya wanafunzi wetu na wahindi.
Idugunde the witch ana diploma ya theory in welding aliyoipata juu ghorofani kariako kwenye chuo flani uchwara kilichosajiliwa na veta.
Anavyoringa sasa
Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu you/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
Sijakuelewa, Yaani unamaanisha , Niombe nafasi ya kwenda kusoma masters kwenye chuo chochote kile, then nikipata ndo nitafure scholarship ?🤔Unatafutaje scholarship bila admission ndugu.
You must have had an admission to a reputable university then go for a scholarship
Unatafutaje scholarship bila admission ndugu.
You must have had an admission to a reputable university then go for a scholarship
Sijakuelewa, Yaani unamaanisha , Niombe nafasi ya kwenda kusoma masters kwenye chuo chochote kile, then nikipata ndo nitafure scholarship ?🤔
NDIOSijakuelewa, Yaani unamaanisha , Niombe nafasi ya kwenda kusoma masters kwenye chuo chochote kile, then nikipata ndo nitafure scholarship ?🤔
Poa poa mkuu, ila si naskiaga Kuna zile ambazo unaomba tu moja kwa moja yaani unakuta chuo kabisa kinatoa scholarship ya kozi fulani.NDIO
Poa poa mkuu, ila si naskiaga Kuna zile ambazo unaomba tu moja kwa moja yaani unakuta chuo kabisa kinatoa scholarship ya kozi fulani.
Nazipataje boss, unaweza kunipa muongozo ? Ili nianze processZipo hizo, ila mpaka uwe na vigezo vyote vya kudahiliwa, ambapo unapewa kwanza admission ndio inafata ufadhili
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu kama Afisa Tarafa ya MichigaYuko wapi kwa sasa?
Kwa akili zipi? Unadhani huko Harvard wanataka Malonya?Nazipataje boss, unaweza kunipa muongozo ? Ili nianze process
Wanaamini hvyo , na ndo wanaabudu hvyo, tatizo Sisi tunajificha ficha Sana na kuchanganya mambo , Leo upo kanisani/msikitini , kesho upo Kwa mganga kwenye biashara , hueleweki , chagua kimoja , kama ni Mungu awe Mungu , kama mizimu na waganga basi chagua hao haoHuwajui wahindi wewe, tulia hivyohivyo. Alafu wao wala hawajifichiki kwenye kufanya hayo kwenye biashara Kama sisi wabongo. Mtu ofisini kajaza matunguri kibao alafu anajifichaficha, kwa muhindi hiyo haipo
Hapana, Kuna familia zinaingiza faida ya kati ya dollar laki tatu au zaidi kwa mwaka kupitia export za mazao nje ya nchi, kwa nini mtoto asisome IST. Pia watoto wengi ni watoto wa foreign diplomats au wawekezaji hapa nchiniwatoto wa kiafrica wanaosoma shule hiyo ukichunguza wazazi wao ama wamo serikalini wakipiga pesa za bure au wana wazazi biashara zao za haramu
Dahh! Sijui hata nikujibu nini boss🤔.Kwa akili zipi? Unadhani huko Harvard wanataka Malonya?
Zipo hizo, ila mpaka uwe na vigezo vyote vya kudahiliwa, ambapo unapewa kwanza admission ndio inafata ufadhili