D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Dec 4, 2022 #121 The Sunk Cost Fallacy said: Ni upuuzi kuwapa fursa ya madaraka,hao sio Watz ndio maana wako na mahaba na India kwao kuliko Tanzania.. Huku wanachuma.kama shamba la Bibi tuu. Click to expand... Acha ubaguzi ndugu
The Sunk Cost Fallacy said: Ni upuuzi kuwapa fursa ya madaraka,hao sio Watz ndio maana wako na mahaba na India kwao kuliko Tanzania.. Huku wanachuma.kama shamba la Bibi tuu. Click to expand... Acha ubaguzi ndugu
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Dec 4, 2022 #122 Huo ni ujasusi wa kiuchumi, walijua yeye ni mtoto wa nani na manufaa gani wangepata kwa kuwa na mwanafunzi wa hivyo.
Huo ni ujasusi wa kiuchumi, walijua yeye ni mtoto wa nani na manufaa gani wangepata kwa kuwa na mwanafunzi wa hivyo.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Dec 4, 2022 #123 mpendaamanitanzania said: Na kuna watu watamsifia. Kwani kama angesoma chuo then akimaliza ndo akasomee kusimamia vya ndugu angepungukiwa nini Click to expand... tatizo lako una fikra za kiafrika, yeye anafikra za kihindi, kwahiyo huwezi kuona ambacho kingempungukia.
mpendaamanitanzania said: Na kuna watu watamsifia. Kwani kama angesoma chuo then akimaliza ndo akasomee kusimamia vya ndugu angepungukiwa nini Click to expand... tatizo lako una fikra za kiafrika, yeye anafikra za kihindi, kwahiyo huwezi kuona ambacho kingempungukia.
Ms Billionaire JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 2,452 Reaction score 4,955 Dec 4, 2022 #124 dos.2020 said: tatizo lako una fikra za kiafrika, yeye anafikra za kihindi, kwahiyo huwezi kuona ambacho kingempungukia. Click to expand... Na hivyo ndugu zake wamejazana kariakoo wanauza viatu na vitambaa vya sare kwenye maduka ya urithi lazima nione tofauti. Mimi nimelelewa kutegemea cha kwangu ndo maana nawaza tofauti
dos.2020 said: tatizo lako una fikra za kiafrika, yeye anafikra za kihindi, kwahiyo huwezi kuona ambacho kingempungukia. Click to expand... Na hivyo ndugu zake wamejazana kariakoo wanauza viatu na vitambaa vya sare kwenye maduka ya urithi lazima nione tofauti. Mimi nimelelewa kutegemea cha kwangu ndo maana nawaza tofauti
My Honest Book JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 1,363 Reaction score 2,161 Dec 4, 2022 #125 Auz said: Yuko wapi kwa sasa? Click to expand... Uko aliko kwasasa atakua anakuzidi maisha mkuu