Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Duh. Kumbe hata Magufuli amelewa na kuku a Vifisadi. Hii nchi sijui ni nani msafi....!!
 
Pokeeni tu hizo pikipiki kwani ni kodi yenu ila kura zote mnajua ni wapi, CDM.
 
Kwani yeye ni wa kwanza kufeli we vipi?haya wewe uliyefaulu unamzidi nini au umetoa nini?
Sasa mbona baba ake alizipigia sanaa makelele Foundation course za watu??
Wakati anapigia kelele watoto wa watu kumbe wake KILAZA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Pokeeni tu hizo pikipiki kwani ni kodi yenu ila kura zote mnajua ni wapi, CDM.
CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio maana kinaendelea kuaminika na kupendwa na watanzania
 
Huyo binti amepata wapi uwezo wa kununua pikipiki zote hizo? Isije ikawa ni fedha zilizopatikana kwa wizi na ufisadi halafu mtu anachomoa kidogo anasema anatoa msaada.
 
Huyo binti amepata wapi uwezo wa kununua pikipiki zote hizo? Isije ikawa ni fedha zilizopatikana kwa wizi na ufisadi halafu mtu anachomoa kidogo anasema anatoa msaada.
Akili za kimaskini zinawaza ujinga jinga tu.ndio maana watu aina yako ni ngumu sana kuendelea na kupata maendeleo zaidi ya kuishia kuwaonea wivu na chuki wenye maendeleo
 
Hivi ile hoja ya yeye kufeli na kusoma foundation huku baba ake akipelekea moto waliosoma foundation hivi, ILIISHIA WAPI?

#YNWA
#YANGA BINGWA
Kwa sasa hilo la foundation haituhusu.Kinachotuhusu sasa ni msaada wa pikipki. Mwishowe utauliza kifo cha Magufuli kiliishia wapi !
 
Akili za kimaskini zinawaza ujinga jinga tu.ndio maana watu aina yako ni ngumu sana kuendelea na kupata maendeleo zaidi ya kuishia kuwaonea wivu na chuki wenye maendeleo
Halafu huyu Chifu Sanze kama Mchawimchawi fulani hivi wa Kisarawe.Roho mbayaaaaaaa !!!.
 
Ila CCM wana designer mzuri sana wa graphics zao
 
Dr Kalemani anatumiwa salaam.
Siasa za CCM ngumu sana.
 
..acha uongo.

..Chadema hawapati ruzuku hiyo.

..Ccm ndio wanapokea ruzuku BILLION 3.2 kila mwezi.
 
Zile za mama hazikufika kule? Au za kupigia picha na kuunda contents hizo? Nilijua mama kamaliza tatizo la bodaboda za ccm nchi nzima kumbe bado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…