Jesika wabeeja geeeteUna uchochezi sana hivi kweli kawagawia UVCCM mkoa mzima wa Geita???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jesika wabeeja geeeteUna uchochezi sana hivi kweli kawagawia UVCCM mkoa mzima wa Geita???
Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utaendelea kuchonga Mdomo wako huku Ndugu Jesca Magufuli Akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania.Duh. Kumbe hata Magufuli amelewa na kuku a Vifisadi. Hii nchi sijui ni nani msafi....!!
Pokeeni tu hizo pikipiki kwani ni kodi yenu ila kura zote mnajua ni wapi, CDM.Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa mbona baba ake alizipigia sanaa makelele Foundation course za watu??Kwani yeye ni wa kwanza kufeli we vipi?haya wewe uliyefaulu unamzidi nini au umetoa nini?
CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio maana kinaendelea kuaminika na kupendwa na watanzaniaPokeeni tu hizo pikipiki kwani ni kodi yenu ila kura zote mnajua ni wapi, CDM.
Akili za kimaskini zinawaza ujinga jinga tu.ndio maana watu aina yako ni ngumu sana kuendelea na kupata maendeleo zaidi ya kuishia kuwaonea wivu na chuki wenye maendeleoHuyo binti amepata wapi uwezo wa kununua pikipiki zote hizo? Isije ikawa ni fedha zilizopatikana kwa wizi na ufisadi halafu mtu anachomoa kidogo anasema anatoa msaada.
Utaendelea kuchonga Mdomo wako huku Ndugu Jesca Magufuli Akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania.
Kwa sasa hilo la foundation haituhusu.Kinachotuhusu sasa ni msaada wa pikipki. Mwishowe utauliza kifo cha Magufuli kiliishia wapi !Hivi ile hoja ya yeye kufeli na kusoma foundation huku baba ake akipelekea moto waliosoma foundation hivi, ILIISHIA WAPI?
#YNWA
#YANGA BINGWA
Halafu huyu Chifu Sanze kama Mchawimchawi fulani hivi wa Kisarawe.Roho mbayaaaaaaa !!!.Akili za kimaskini zinawaza ujinga jinga tu.ndio maana watu aina yako ni ngumu sana kuendelea na kupata maendeleo zaidi ya kuishia kuwaonea wivu na chuki wenye maendeleo
Chadema wamepokea ruzuku zaidi ya bilioni 10 mwaka huu, lakini Makamu Mwenyekiti Lissu hana gari, gari nzuri inayomfaa haizidi milioni 400, wangetoa hizo, ingebaki bilioni tisa na milioni 600.
Zile Ford Ranger ambazo walinunua kwa ajili ya kanda/mikoa, Mbowe alinunua bila kutangaza tenda, akaishia kukusanya magari mabovu huko marekani, akayapiga rangi. Sasa hivi hakuna hata moja linalotembea
Ila CCM wana designer mzuri sana wa graphics zao
Tumia akili sasa..acha uongo.
..Chadema hawapati ruzuku hiyo.
..Ccm ndio wanapokea ruzuku BILLION 3.2 kila mwezi.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki
Kilaza haswaaaa sifa yake pekee ni adabu na dini.Tatizo wewe hujui chochote, umetoka Vwawa huko porini ukaja mjini ukafikia Lumumba kuwa chawa. Jesca Magufuli ni kilaza .
Tatizo la Jesca ni kwamba kichwani ni mweupe sana.