Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha roho mbaya na chuki.

Angekuwa kama sisi tuliozaliwa kubeba ukoo na tukatoboa asingeweza hata kumaliza sekondari, hata kama unajipendekeza unajua hilo rohoni kwako kaa nalo ila andika upate ujira. Nimchukie kilaza au mtoto wa magu ananipunguzia au kuniongezea nini na uzee wangu huu?
 
Binti kanifurahisha kwa kujitoa, Hongera zake na Mungu amjalie aingie serikalini anaweza kufanya makubwa zaidi.
 
Ukiwagusa hivi huwa wanapiga kelele kama wamejeruhiwa
 
Acha mawazo ya kijima
Braza nimekuuliza "Hela ya pikipiki kapata wapi?""

Huku kwenye utumishi wa umma tunafundishwa Maadili.

Na isitoshe huyu ni Jobless University leaver.
Dada ake ndio alikuwa DAS Moro na dada ake mwengine wa kufikia alikuaga HR TANROAD Iringa na sasa hivi ni RAS Songwe.

Hela kapewa na dada zake??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Huyu anasumbuliwa na wivu
Sio wivu mi nauliza.

We mnyia una thubutu vipi kuzisema kahawa za Itaka mbaya wakati zako za Igamba ni mbaya zaidi??

Baba ake alipondaa waenda Foundation kumbe nyumbani kwake analea Kilaza wa UDOM.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…