MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,813
- 2,188
Huyo binti ni humble sana. Nampenda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya na chuki.Bila kubwebwa na hilo jina angekuwa anavuna chai kule mufindi kwa baba mwashambwa
Kilaza mwenyewe usiye jitambuaKilaza haswaaaa sifa yake pekee ni adabu na dini.
Acha roho mbaya na chuki.
Jesca ndiye anakwenda kupita maana ndiye chaguo la wengiDr Kalemani anatumiwa salaam.
Siasa za CCM ngumu sana.
Binti kanifurahisha kwa kujitoa, Hongera zake na Mungu amjalie aingie serikalini anaweza kufanya makubwa zaidi.Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jesca ndiye anakwenda kupita maana ndiye chaguo la wengi
Ni Kilazaaaaaa haswaaaaaa wa DV0- lakini ana adabu na hana tamaaa kama mama yake nyie ndiyo mnamlazimisha umavimavi wenu wa siasa njaaaa kupitia jina lake.Kilaza mwenyewe usiye jitambua
Ukilaza wake uko wapi?Jesca KILAZA soon atakuja kuwa kiongozi mkubwa.
Hii nchi kuendelea labda yesu arudi, ashike madaraka mwenyewe.
Ukiwagusa hivi huwa wanapiga kelele kama wamejeruhiwaChadema wamepokea ruzuku zaidi ya bilioni 10 mwaka huu, lakini Makamu Mwenyekiti Lissu hana gari, gari nzuri inayomfaa haizidi milioni 400, wangetoa hizo, ingebaki bilioni tisa na milioni 600.
Zile Ford Ranger ambazo walinunua kwa ajili ya kanda/mikoa, Mbowe alinunua bila kutangaza tenda, akaishia kukusanya magari mabovu huko marekani, akayapiga rangi. Sasa hivi hakuna hata moja linalotembea
Braza nimekuuliza "Hela ya pikipiki kapata wapi?""Acha mawazo ya kijima
Sio wivu mi nauliza.Huyu anasumbuliwa na wivu
Hizo pikipiki, HELA KAPATA WAPI??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ila kipindi cha Magu SUKUMA GANGA hamkua mnaikosoa.Acha ukabila hapa.huo ni utoto mkubwa sana.
Dogo katoboa kwa Team Msoga A.K.A wana mtandao usisahau wazee wa madili.#mwananchi maelekezo ni yale yale kwamba Yanga Bingwa 🏆
CCM Woteee weziiiiSwali maridhawa kabisa, kwenye first class world hii ingekuwa ni red flag,
Hapo sawaa.Ni lile gawiwo la vitambulisho vya machinga
Embu acha utoto wa ukabila.Ila kipindi cha Magu SUKUMA GANGA hamkua mnaikosoa.
Na sasa hivi nchi imehamia kwa wanamtandao, wazee wa madili.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Leta ukweli sasa..acha uongo.
..Chadema hawapati ruzuku hiyo.
..Ccm ndio wanapokea ruzuku BILLION 3.2 kila mwezi.
Sasa mtu mwenye fursa karibu zote; baba ni senior minister! Mama mwalimu, lakini pamoja na yote hayo bado unapata Div IV Points 31?!Ukilaza wake uko wapi?