Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA ni chama kama kitega uchumi cha mtu kilicho mfukoni kwa mtu.ndio maana mwenyekiti yupo madarakani tangia 2004 ,kana kwamba wengine ni mahayawani wasio na uwezo wa kuongoza.

Matajiri wa nchi hii ni kutoka CHADEMA au CCM??? Jibu litadhihirisha ni kina nani wanatumia Chama kama kitega uchumi.
 
Anatafuta ubunge,mara pa Waziri-anakuwa waziri ambaye ni form 4 failure kama Makamba na Nape
 
Anatafuta ubunge,mara pa Waziri-anakuwa waziri ambaye ni form 4 failure kama Makamba na Nape
Hatafuti ubunge bali ni mbunge anayesubiri kuapishwa hapo Mwakani.kaa kwa kutulia utaona Mwakani anavyoingia Bungeni kwa kishindoo
 
Njoo nikuoe Jesca Magufuli..🍎😘
 
Chapa kazi wewe acha uvivu wako na kuishi kama hayawani.
Kazi Gani wewe chawa! Dingi si alikuwa amejaza Hela vyumbani! Lakini alijiita mzalendo na kiongozi wa wanyonge? Alikuwa anawanyonga wadanganyika sana! Shame on your face!
 
Kazi Gani wewe chawa! Dingi si alikuwa amejaza Hela vyumbani! Lakini alijiita mzalendo na kiongozi wa wanyonge? Alikuwa anawanyonga wadanganyika sana! Shame on your face!
acha uzushi na uongo wako wa kijinga na kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…