Huyu binti yuko vizuri kifedha aise
Ova
Ni dalili za ku practice corruption at young age.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu binti yuko vizuri kifedha aise
Ova
Kweli kama wewe ni mfanyabiashara lazima uvae na shati lenye picha ya kiongozi bila hivyo TRA walee.CCM bwana.
Unajua mimi pia ni mwana CCM ila nachotaka ni mambo yangu yaende.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
CHADEMA ni chama kama kitega uchumi cha mtu kilicho mfukoni kwa mtu.ndio maana mwenyekiti yupo madarakani tangia 2004 ,kana kwamba wengine ni mahayawani wasio na uwezo wa kuongoza.
[emoji38] [emoji1] nimecheka kweli
Ova
Acha uvivu wa kutumia akili nguvu ulizopewa na Mungu kufanya kaziNi dalili za ku practice corruption at young age.
Kwani lucas mbona wewe unaishi kwa UCHAWA bila kuwa na kazi ya kueleweka?Fanya kazi utapata pesa na siyo kubweteka na kupiga umbeya na kubakia kushangaa watu wanapojitoa na kujitolea kuwa wametoa wapi pesa.
Acha uvivu wa kutumia akili nguvu ulizopewa na Mungu kufanya kazi
Huyu binti ana masters.Anatafuta ubunge,mara pa Waziri-anakuwa waziri ambaye ni form 4 failure kama Makamba na Nape
Hatafuti ubunge bali ni mbunge anayesubiri kuapishwa hapo Mwakani.kaa kwa kutulia utaona Mwakani anavyoingia Bungeni kwa kishindooAnatafuta ubunge,mara pa Waziri-anakuwa waziri ambaye ni form 4 failure kama Makamba na Nape
Njoo nikuoe Jesca Magufuli..🍎😘Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani amekwambia wapi au kuona tangazo kuwa anatafuta mume.Njoo nikuoe Jesca Magufuli..🍎😘
Acha uongo na uzushi wako hapa wewe.Kweli kama wewe ni mfanyabiashara lazima uvae na shati lenye picha ya kiongozi bila hivyo TRA walee.
Kazi Gani wewe chawa! Dingi si alikuwa amejaza Hela vyumbani! Lakini alijiita mzalendo na kiongozi wa wanyonge? Alikuwa anawanyonga wadanganyika sana! Shame on your face!Chapa kazi wewe acha uvivu wako na kuishi kama hayawani.
acha uzushi na uongo wako wa kijinga na kitotoKazi Gani wewe chawa! Dingi si alikuwa amejaza Hela vyumbani! Lakini alijiita mzalendo na kiongozi wa wanyonge? Alikuwa anawanyonga wadanganyika sana! Shame on your face!