Anatumiwa na Mama hujiongezi ?? Kura za huruma za Sukuma Gang.....Hizo pikipiki, HELA KAPATA WAPI??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Yaaniii nasikia dogo yule huwa zinamruka ...anakuwa z...e..z..e...tPiki piki 5 bado mnapiga picha za kuzitangaza mitandaoni? Kuna yule dogo aligawa box moja la ream paper kwa uvccm
Hatuna wana CCM wajinga jinga aina yako.
Kalemaniii mguu sawa Chato.....!!Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kikubwa unatumiaje kichwa chako kupiga maisha.
Watanzania wengi ni mfano wa huyo dogoYaaniii nasikia dogo yule huwa zinamruka ...anakuwa z...e..z..e...t
..a....sijui kawekwa pale asaidie dingi kukaa siasa na kuwa big....! Inaumiza sanaa....sasa mtu wa hivyo anaandaliwa eti ...kweli Tanzania zaidi uijuavyo....
Ngoja nikalipie kadi yangu
Kazi ni kipimo cha utu.fanya kazi kwa bidii ,juhudi na maarifa utapata chochote kile atakachoPesa kapata wapi? Halafu atarizirejesha vipi?
Mimi ni mzalendo na siyo msaliti.Lucas Mwashambwa ..
Kua tu mkweli hapa ni jukwani wengi hatukujui,
Kati ya
1. CCM,
2. FAMILIA YAKO(MKE, WATOTO, WAZAZI)
3. MUNGU,
Kipi ni cha kwanza kwako?
NOTE : Epuka usaliti unaokupa ugali
We mbwa wa Kinyia muda mwengine uwe na akili.Kazi ni kipimo cha utu.fanya kazi kwa bidii ,juhudi na maarifa utapata chochote kile atakacho
Wewe hii ndio bidoi yako sio ? Michawa banaaaa.....pumuliwaaaKazi ni kipimo cha utu.fanya kazi kwa bidii ,juhudi na maarifa utapata chochote kile atakacho
Mi nimelipia miaka mi5Ngoja nikalipie kadi yangu
Sukuma gang imerudi?Anatumiwa na Mama hujiongezi ?? Kura za huruma za Sukuma Gang.....
Vizuri kabisa Boss,Mimi ni mzalendo na siyo msaliti.
Ipo sanaa.....wanaiogopa...!! Mikoa kanda ziwa wakiamua kuamua....mtu atabebelea boxes kura za kujalizia
Acha ukabila hapa.huo ni utoto mkubwa sana.