Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Piki piki 5 bado mnapiga picha za kuzitangaza mitandaoni? Kuna yule dogo aligawa box moja la ream paper kwa uvccm
Yaaniii nasikia dogo yule huwa zinamruka ...anakuwa z...e..z..e...t
..a....sijui kawekwa pale asaidie dingi kukaa siasa na kuwa big....! Inaumiza sanaa....sasa mtu wa hivyo anaandaliwa eti ...kweli Tanzania zaidi uijuavyo....
 
Hatuna wana CCM wajinga jinga aina yako.
1730005056888.jpg

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.

Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.

Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kalemaniii mguu sawa Chato.....!!
 
Yaaniii nasikia dogo yule huwa zinamruka ...anakuwa z...e..z..e...t
..a....sijui kawekwa pale asaidie dingi kukaa siasa na kuwa big....! Inaumiza sanaa....sasa mtu wa hivyo anaandaliwa eti ...kweli Tanzania zaidi uijuavyo....
Watanzania wengi ni mfano wa huyo dogo
Vitu muhimu na vyenye faida kwa chama na taifa wanafanya masihara
 
Back
Top Bottom