Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi tunamshukuru Isaka wa Mwigulu kwa kutupatia "lim".

Mama anaupiga mwingi!
View attachment 3136243
CCM ni tanuri la kupika viongozi kuanzia wakiwa wadogo.tofauti na kule CHADEMA ambako ubinafsi umewajaa viongozi.ndio maana unaona Mwenyekiti ameng'ang'ania madarakani utafikiri hakuna wengine wenye uwezo wa kuongoza.
 

Pikipiki less than 10 zinamwagwaje?
 
Chadema wamepokea ruzuku zaidi ya bilioni 10 mwaka huu, lakini Makamu Mwenyekiti Lissu hana gari, gari nzuri inayomfaa haizidi milioni 400, wangetoa hizo, ingebaki bilioni tisa na milioni 600.

Zile Ford Ranger ambazo walinunua kwa ajili ya kanda/mikoa, Mbowe alinunua bila kutangaza tenda, akaishia kukusanya magari mabovu huko marekani, akayapiga rangi. Sasa hivi hakuna hata moja linalotembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…