Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pesa zisizo halali wewe unazifurahia!
 
1-Binti anaanzia miaka mingapi hadi miaka mingapi ukomo?
2-Kutoa pikipiki ni moja ya sera za CCM kama kugawa kanga,kofia,tisheti,elfu mbili kwa kila lofa mmoja na kupika ubwabwa kwa maharage vipindi vya karibu na chaguzi?
3-Matarajio ya ugawaji/takrima/rushwa hizo ni nini kuhusu hatma na maendekeo ya watanzania?
 
UVCCM ndio akili zenu zilipoishia
Mnashindwa kuwaza anagawa pikipiki pesa kutoka kwenye mfuko upi ?
Je, return ya mgawaji ikoje?
Ujinga wa wana CCM ndio unaowapa CCM mamlaka ya kuliibia Taifa
 
UVCCM ndio akili zenu zilipoishia
Mnashindwa kuwaza anagawa pikipiki pesa kutoka kwenye mfuko upi ?
Je, return ya mgawaji ikoje?
Ujinga wa wana CCM ndio unaowapa CCM mamlaka ya kuliibia Taifa
Kweli huna akili kabisa.kwa hiyo unafikiri utapata pesa kwa kubwetaka kama ufanyavyo wewe na uzembe na uvivu wako
 
Pesa za kununulia hizo pikipiki amezitoa wapi ?
Is it not a financial crime?
Vyanzo vyake vya mapato ni vipi?
Je, Kodi stahiki ya Serikali imelipwa kuhusiana na hivyo vyanzo vyake vya fedha?
Je, vyanzo vyake vya mapato ni halali kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na taratibu za nchi hii?
 
Mvivu mkubwa wewe wa akili na mwili .unakalia ujinga na mawazo ya kijinga na kuanza kuwaonea wivu wenye navyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…