Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwi Kwi Kwi , Safari hii Mtatajana tuKapuku Mwenyewe usiyejitambua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwi Kwi Kwi , Safari hii Mtatajana tuKapuku Mwenyewe usiyejitambua
Kila mtu anajua kwamba unavaa chupi, kwa hiyo hakuna umuhimu wa wewe kuionyesha hiyo chupi barabarani.Ondoa ujinga wako hapa wewe
Ujinga umekuwa mzigo sana kwako.Kila mtu anajua kwamba unavaa chupi, kwa hiyo hakuna umuhimu wa wewe kuionyesha hiyo chupi barabarani.
If you know, you know.
Kwa sababu Magufuli aljuwa ya kuwa wezi walikuwa wengi na wangehongwa na mabeberu wa Ulaya kwa njaa ya kiti wao wanasiasa wangekuwa wanafanya kama vile sasa AIPAC inavyo wa manipulate bunge na Raisi wa marekani kwa huwahonga mpaka imefikia sasa wao kuweka maslaha ya Israel kwanza kabla ya wananchi wao marekani. Juzi juzi tu wametoa dollar billion 20 bure kuwapa silaha hali wamarekani wanamenyeka maisha kwa kuishi kwa madeni .Muaminifu huwa anaruhusu demokrasi ili vyombo vya habari vimhoji wizi wake. Jpm hakutaka kabida kiwa na uhuru wa habari kwa sababu anajua alichokuwa anafanya. Trasparency ndo inaondoa ukakasi kana anavyofanya mama
Jibu hoja
Ova
Hakufaa kabisa kuwa kiongozi. Angeua watanzania kwa stress hasa wanapjituma kufanya kazi. Wangrbaki akina nyie wazembe wa kufurahi tajiri naye awe maskini afanane na nyinyiKwa sababu Magufuli aljuwa ya kuwa wezi walikuwa wengi na wangehongwa na mabeberu wa Ulaya kwa njaa ya kiti wao wanasiasa wangekuwa wanafanya kama vile sasa AIPAC inavyo wa manipulate bunge na Raisi wa marekani kwa huwahonga mpaka imefikia sasa wao kuweka maslaha ya Israel kwanza kabla ya wananchi wao marekani. Juzi juzi tu wametoa dollar billion 20 bure kuwapa silaha hali wamarekani wanamenyeka maisha kwa kuishi kwa madeni .
Transparency yake;
• Tanzania ilikuwa hata ndege moja haina . Sasa tazama mandege yanaenda kila mahali
• Wizi wizi wote ulizimika
• Reli ya kisasa
• Mtambo wa umeme wa maji
• Daraja la busisi
• Barabara za lami
•Kusoma bure
•Huduma serikalini zilikuwa zimekufa kazifufua
• Umeme ulikuwa ukikatika kila leo, lilipokuja tu umeme ukawa upo.
• Fitina fitina zilikufa,
• Wamachinga wakaacha kunyanyaswa.
• Fyeke fyeke zote za kuleta vurugu za siasa zilikufa.
• Wozi wa mali ya uma uliisha.
Inaweza kuwa Magufuli alikuwa na mspungufu maana yeye sio malaika ni binadamu lakini alikuwa raisi mwenye sifa za pekee . Afrika wananchi karibu kila nchi
Za Africa walitamani Magufuli afufukie kwao. Mungu amlaze mahala pema peponi. Hakujali kabila, dini au rangi yeye alijali haki tu na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Hizo juu ndio sifa za magufuli.
Angekaa 5 ingine, Tanzania ingefikia ndoto yake Tanzania ya viwanda.
Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa amefanya biashara gani na kuweza kupata huo uwezo? Angekuwa Bakhersa, Shabiby,au Dewji sawa, sasa huyu kilaza wa Udom,pesa anatoa wapi kama sio mapicha picha ya kisheitwan ya ccmNdugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kilaza mwenyewe unayefanya kazi ya kuzurura kutwa nzima kama kichaa.Sasa amefanya biashara gani na kuweza kupata huo uwezo? Angekuwa Bakhersa, Shabiby,au Dewji sawa, sasa huyu kilaza wa Udom,pesa anatoa wapi kama sio mapicha picha ya kisheitwan ya ccm
Ujinga unakutesa ewe mvivu wa akili na mwili.Waliosema Magufuli hakuwa fisadi sasa aibu kwa mali alizoacha
Baba yake alikuwa mwizi kuliko marais wote bongo tatizo alitaka aibe yeye tuHizo pikipiki, HELA KAPATA WAPI??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nchi hii Watu wana Mahela Bandugu !Hizo pikipiki, HELA KAPATA WAPI??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Matakeo yake yanakuhusu nini badala ya kufuatilia familia yako?umaskini unakusumbua huna cha kufanyaYapo wapi.
Anauliza na wewe ungejibu kistaarabu. Kanunua kwa mshahara wake au la. Maana huyo ni mtumishi wa umma. Kuuliza siyo wivuFanya kazi utapata pesa na siyo kubweteka na kupiga umbeya na kubakia kushangaa watu wanapojitoa na kujitolea kuwa wametoa wapi pesa.
Wewe ndiyo kilaza usikatae ungekuwa na akili hata moja usingeleta uninga huu humuKilaza mwenyewe unayefanya kazi ya kuzurura kutwa nzima kama kichaa.
Labda baba yako ndio alikuwa Mwizi.Baba yake alikuwa mwizi kuliko marais wote bongo tatizo alitaka aibe yeye tu
Muaminifu huwa anaruhusu demokrasi ili vyombo vya habari vimhoji wizi wake. Jpm hakutaka kabida kiwa na uhuru wa habari kwa sababu anajua alichokuwa anafanya. Trasparency ndo inaondoa ukakasi kana anavyofanya mama