Mtoto wa Hilal Sood, mzawa wa mkoa wa Shinyanga alamba ubalozi akiiwakilisha Oman. Hii imekaaje?

baba yake ni kipenzi sana cha Jk ingawa ni mwarabu lakini hao ni wa kazi wa kudumu mkoa wa shinyanga , na baadhi ya watoto wengine wapo ccm na walishawahi kugombea udiwani.
Hilal ndio mwenye Ginnery?
 
Haujatueleza alizaliwa Shinyanga au Omani licha ya baba yake kuwa mkazi wa Shinyanga huku asili ya mama yake hatuijui.
Mama yake ni msukuma pure.
Huyu mteule ana dada yake black nywele mwarabu.
Kwa kifupi ni halfcast
 
Nchi imeuzwa kwa rostam azizi sasa waarabu wanaiteka yote ...haya maneno yangu mtayakumbuka tena hao waarabu siyo wazalendo kabisa kwa taifa letu
 
Huyu kijana kwa jinsi ninavyoona Tanzania alikuwepo kikazi lakini anavyofahamika ni kijana ambaye amekaa Tanzania muda mrefu hata baba yake ni mkazi wa mkoa wa Shinyanga hadi sasa.
Waarabu walikuja kuchuma madini over
 
Kwahiyo huyu ni kijina na mimi niitwaje mtoto? hatari sn
 
Miaka iliyopita kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Alex Halid ndiye alikuwa mmiliki wa baa moja maarufu maeneo ya kibamba ilikuwa ikiitwa Makondeko, huyo jamaa aliwahi kuwa balozi wa heshima akiiwakilisha nchi ya shelisheli nchini ingawa alikuwa ni Mtanzania kutoka kusini mkoani Mtwara.
Hivyo hata huyo Mwarabu inawezekana naye kapewa ubalozi wa heshima japo sio raia wa Oman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…