wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hilal ndio mwenye Ginnery?baba yake ni kipenzi sana cha Jk ingawa ni mwarabu lakini hao ni wa kazi wa kudumu mkoa wa shinyanga , na baadhi ya watoto wengine wapo ccm na walishawahi kugombea udiwani.