Mtoto wa Hilal Sood, mzawa wa mkoa wa Shinyanga alamba ubalozi akiiwakilisha Oman. Hii imekaaje?

Mtoto wa Hilal Sood, mzawa wa mkoa wa Shinyanga alamba ubalozi akiiwakilisha Oman. Hii imekaaje?

Raia wa Oman,ni balozi anayeiwakilisha Oman nchini Tanzania,

Ni sawa na wewe uchukue uraia wa UK kisha baada ya muda UK wakuteua kua balozi wao Tanzania,so hapo utarudi Tz kama balozi wa UK.
Uk kuna Mzanzibar ni diwani lkn anaongea kiswahili kama mimi na wewe, kama ulivyosema yawezeka huko mbele akawa balozi na akapangiwa tz
 
Mliosoma historia Mambo ya central route simnaelewa anzieni hapo biashara utumwa
 
Hao na wengine wengi huishi nchini wakiwa wakiwa ni raia wa kigeni wakilipia kila mwaka
 
Watoto wengi walienda Oman miaka ya nyuma walipata fursa za kupelekwa nje kusomea chochote kile na gharama zilitolewa na serikali
Waliporudi walipewa ajira na mishahara minono

Waliofaidi sana wale waliokuwa wamemaliza form four au six walipata fursa sana

Ndio hao ambao Sasa ni wabunge huko Oman na mimi nawajua baadhi ambao nilisoma nao
 
Waarabu wengi wa Tz wana mafungamano na ushirikiano mzuri na ndugu zao huko Oman. Wengi husoma hapa Tz na kisha kwenda kuajiriwa huko Oman au Saudi Arabia.

Hivyo hili ni la kawaida sana kutokea japo maajabu ni pale anapokuja kuhudumu kama balozi katika nchi ambayo amezaliwa au kulia.

Na lenyewe kuwa na kiswahili cha kutosha inaweza kuwa sababu ya kuletwa huku.
 
Kwa hiyo ana uraia pacha?
Au huku alikuwa anaishi kwa vibali?
Hana uraia pacha,alizaliwa Tanzania kama wewe tu,

Mfano wewe leo hii uende USA kisha upate uraia wa USA,
Baada ya muda uteuliwe na Biden kua balozi wa US nchini Tanzania.
 
Wenzetu wanaangalia merit sana kuna kitu wamekiona kwa jicho la tatu na wamemuamini anaweza kudeliver.
 
Wenzetu wanwaza maendeleo, sisi tunawaza ubaguzi. Nchi zilizoendlea hawashuhuliki na wapi umezaliwa au una asili gani wanatizama uwezo wako na nini unafanya, na hiyo ndio misingiya maendeleo. Bongo watu wamekunja roho kisa Mama ni mpemba kawa raisi. Wakati ni Raia mzawa kabisa.
Tunasafari ndefu sana ya maendeleo.
 
Tukiwa huku kwenu mnatuita waarabu wa Tanga, tukipata shavu Uarabuni mnasema ni MTU wa shinyanga,Tanga..n.k hahaa

Utatuweza kwa unafiki na ubaguzi
Eti amekuja kuiba dhahabu wengine nao wanasema wanafikiri Tz ya kwao (Waomani)
Huku wakisema mzaliwa wa Shy na huku wanasema waarabu

Sasa kama wamekuja kuiba madini?
Hivi kuna waizi kama waswahili Mbona hamuendi kuiba mafuta yao sasa? [emoji23][emoji23]
 
Utatuweza kwa unafiki na ubaguzi
Eti amekuja kuiba dhahabu wengine nao wanasema wanafikiri Tz ya kwao (Waomani)
Huku wakisema mzaliwa wa Shy na huku wanasema waarabu

Sasa kama wamekuja kuiba madini?
Hivi kuna waizi kama waswahili Mbona hamuendi kuiba mafuta yao sasa? [emoji23][emoji23]
hahaaa.....muarabu leo wakuitwa mzawa kweli?, wakipendwa sana wanaitwa watanzania wenye asili ya Asia!
 
Back
Top Bottom