nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 664
- 1,050
Waarabu walikuja kuchuma madini over
Mkuu mimi sijaongelea origin ya muhusika.Kwani asili yake ni msukuma? huyo ni mwarabu asili yake ni Uarabuni
Hungumalwa, Ilula, Shinyanga.Jazia nyama, asili ya mama yake.
wapi mleta mada kasema kitu cha ajabuSio kitu cha ajabu hata wewe mleta mada katafute uraia wa nchi nyingine kisha waombe wakuteue uwe balozi wao Tanzania
Wamerudishiwa nchi yaoWana eneo maganzo zikipatikana almas eneo jingine linageuka Lao mtachezea kichapo mpaka muombe poo mpaka Gun nimechimba sana nimekimbia mno. Magu ndo aliwanyoosha kidogo sa hivi unakufa tu
Rostam Aziz ni Muirani!? Wa kuzaliwa!? Au wazazi wake ni WaiRani!?Kwa nini haushangai kingmaker ambaye ni MuIrani?
Nani kakwambia kua huyo balozi sio raia wa Oman?Miaka iliyopita kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Alex Halid ndiye alikuwa mmiliki wa baa moja maarufu maeneo ya kibamba ilikuwa ikiitwa Makondeko, huyo jamaa aliwahi kuwa balozi wa heshima akiiwakilisha nchi ya shelisheli nchini ingawa alikuwa ni Mtanzania kutoka kusini mkoani Mtwara.
Hivyo hata huyo Mwarabu inawezekana naye kapewa ubalozi wa heshima japo sio raia wa Oman.
Nimetoa maoni yangu tu hivyo sina sababu ya kubishana na wewe kwani huenda unamfahamu zaidi,pole sana kama nimekwaza endeleeni na mjadala wenu.Nani kakwambia kua huyo balozi sio raia wa Oman?
Huyo ni raia wa Oman,hata wewe unaweza ukawa raia wa nchi yeyote ile,ni uamuzi wako tu.
huyo ni raia wa oman hata baba yake hilal soud ni raia wa oman japo wazazi wao walitokea nzega na kuhamia shinyangaNi raia wa Tanzania au Omani? Ubalozi amepewa na Tanzania au Omani? na kuiwakilisha Tanzania au Omani wapi?
Hapa hatubishani mkuu bali tunajadili tu.Nimetoa maoni yangu tu hivyo sina sababu ya kubishana na wewe kwani huenda unamfahamu zaidi,pole sana kama nimekwaza endeleeni na mjadala wenu.