Uk kuna Mzanzibar ni diwani lkn anaongea kiswahili kama mimi na wewe, kama ulivyosema yawezeka huko mbele akawa balozi na akapangiwa tzRaia wa Oman,ni balozi anayeiwakilisha Oman nchini Tanzania,
Ni sawa na wewe uchukue uraia wa UK kisha baada ya muda UK wakuteua kua balozi wao Tanzania,so hapo utarudi Tz kama balozi wa UK.
Umejibu vyema ndg, unakunywa soda gani?Raia wa Oman,ni balozi anayeiwakilisha Oman nchini Tanzania,
Ni sawa na wewe uchukue uraia wa UK kisha baada ya muda UK wakuteua kua balozi wao Tanzania,so hapo utarudi Tz kama balozi wa UK.
Kwa hiyo ana uraia pacha?Raia wa Oman,ni balozi anayeiwakilisha Oman nchini Tanzania,
Ni sawa na wewe uchukue uraia wa UK kisha baada ya muda UK wakuteua kua balozi wao Tanzania,so hapo utarudi Tz kama balozi wa UK.
Hana uraia pacha,alizaliwa Tanzania kama wewe tu,Kwa hiyo ana uraia pacha?
Au huku alikuwa anaishi kwa vibali?
Mimi nina hela pia natafuta hela halali siyo nyinyi wahuni mnaotafuta hela haramu...kwenu hela haramu ndiyo mawazo ya kitajiriMkuu una mawazo ya kimasikini sana na unaonekana umekata tamaa!
Badili mind set yako kwanza kisha Tafuta Hela usipokubaliana na huu ushauri basi fresh tu au Basi Nenda zako.
Watu wajanja sana aisee...almasi oyee, dhahabu oyeeeSasa ana diplomatic immunity. Mzigo wake hauguswi pale airport. Hata almasi anabeba kilainii tuu.
ni weusi kama sisi ama?Mkuu huko Oman kuna wa Omani wengi sana wenye asili ya Tanzania,mfano waziri wa Petrol na madini wa Omani ni mswahili aliyezaliwa Tanzania,kuna kipindi fulani alifanya ziara Tz na ile Meli yao kama unakumbuka,
Tukiwa huku kwenu mnatuita waarabu wa Tanga, tukipata shavu Uarabuni mnasema ni MTU wa shinyanga,Tanga..n.k hahaa
hahaaa.....muarabu leo wakuitwa mzawa kweli?, wakipendwa sana wanaitwa watanzania wenye asili ya Asia!Utatuweza kwa unafiki na ubaguzi
Eti amekuja kuiba dhahabu wengine nao wanasema wanafikiri Tz ya kwao (Waomani)
Huku wakisema mzaliwa wa Shy na huku wanasema waarabu
Sasa kama wamekuja kuiba madini?
Hivi kuna waizi kama waswahili Mbona hamuendi kuiba mafuta yao sasa? [emoji23][emoji23]