Mtoto wa Hilal Sood, mzawa wa mkoa wa Shinyanga alamba ubalozi akiiwakilisha Oman. Hii imekaaje?

Mtoto wa Hilal Sood, mzawa wa mkoa wa Shinyanga alamba ubalozi akiiwakilisha Oman. Hii imekaaje?

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Mimi siyo mtaalamu sana wa diplomasia kijana kalamba shavu ni kijana ambaye ameishi mkoa wa shinyanga kwa miaka yote lakini kwa sasa kalamba ubalozi kuiwakilisha OMAN hongera zake mimi kwa ujumla namtakia majukumu mema kuiwakilisha nchi yake ya OMAN nineamini kila kitu kinawezekana katika nchi yetu.

Screenshot 2022-06-06 at 08-45-00 شبكة الزاجل العمانية on Twitter.png
 
Huyu kijana kwa jinsi navyoona tanzania alikuwepo kikazi lakini anavyofahamika nibkijana ambaye amekaa tanzania mda mrefu hata baba yake ni mkazi wa mkoa wa ahinyanga hadi sasa.
Mkuu huko Oman kuna wa Omani wengi sana wenye asili ya Tanzania,mfano waziri wa Petrol na madini wa Omani ni mswahili aliyezaliwa Tanzania,kuna kipindi fulani alifanya ziara Tz na ile Meli yao kama unakumbuka,
 
Mimi siyo mtaalamu sana wa diplomasia kijana kalamba shavu ni kijana ambaye ameishi mkoa wa shinyanga kwa miaka yote lakini kwa sasa kalamba ubalozi kuiwakilisha OMAN hongera zake mimi kwa ujumla namtakia majukumu mema kuiwakilisha nchi yake ya OMAN nineamini kila kitu kinawezekana katika nchi yetu View attachment 2251834
huyo hilal soud baba yake anatokea nzega,mkiani tabora,ndio asili yao hasa
 
baba yake ni kipenzi sana cha Jk ingawa ni mwarabu lakini hao ni wa kazi wa kudumu mkoa wa shinyanga , na baadhi ya watoto wengine wapo ccm na walishawahi kugombea udiwani.
 
Mimi siyo mtaalamu sana wa diplomasia kijana kalamba shavu ni kijana ambaye ameishi mkoa wa shinyanga kwa miaka yote lakini kwa sasa kalamba ubalozi kuiwakilisha OMAN hongera zake mimi kwa ujumla namtakia majukumu mema kuiwakilisha nchi yake ya OMAN nineamini kila kitu kinawezekana katika nchi yetu View attachment 2251834
Haujatueleza alizaliwa Shinyanga au Omani licha ya baba yake kuwa mkazi wa Shinyanga huku asili ya mama yake hatuijui.
 
Jakaya ana kipaji sana cha kutengeneza Marafiki waaminifu ambao wapo nae wakati wa shida na Raha

JPM na Lowassa walilijua but it was too late
baba yake ni kipenzi sana cha Jk ingawa ni mwarabu lakini hao ni wa kazi wa kudumu mkoa wa shinyanga , na baadhi ya watoto wengine wapo ccm na walishawahi kugombea udiwani.
 
Back
Top Bottom