Mtoto wa Hilal Sood, mzawa wa mkoa wa Shinyanga alamba ubalozi akiiwakilisha Oman. Hii imekaaje?

Hana uraia pacha,alizaliwa Tanzania kama wewe tu,

Mfano wewe leo hii uende USA kisha upate uraia wa USA,
Baada ya muda uteuliwe na Biden kua balozi wa US nchini Tanzania.
Sawa, uraia wa Tanzania aliukana? Na kuamua kuwa raia wa Oman?
Kihistoria Omani na Zanzibar watu wanaingilia hata lugha, dini, koo, jamii kwa ujumula.
Ishu ni kama amezaliwa Tz basi alipokuwa hakuwa raia wa Tanzania? Aliishi kwa vibali?
Bado suala la uraia pacha haujanielewesha vzr
 
Mkuu,mtu kazaliwa Bongo ataishije kwa vibali? Kaenda nchi nyingine kapata uraia wa huko,hapo inakua ni automatic anakua amepoteza uraia wa Tz coz Tz hairuhusu uraia pacha.
 
Nchi imeingia rasmi kwa wapigaji. Hawa wote ni watu wa Kikwete.
 
Mkuu,mtu kazaliwa Bongo ataishije kwa vibali? Kaenda nchi nyingine kapata uraia wa huko,hapo inakua ni automatic anakua amepoteza uraia wa Tz coz Tz hairuhusu uraia pacha.
Sawa nimekupata uzuri.
Watu kama hawa wanakuaga Majasusi.
Lakini mfano leo hii Tanzania inakubali suala la uraia pacha, je huyu Balozi ataomba au atatumia advantage alizaliwa huku?
Suala la uraia pacha kwa mtu kama huyu na nafasi aliyoteuliwa halikwepiki, atakuwa amepewa promotion kwa kazi aliyoifanya na kuamua kuutelekeza siyo kuukana uraia wake wa Tanzania.
 
Upo sahihi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom