Josephenus
Member
- Feb 20, 2020
- 8
- 12
Kati ya mwakenya Na watanzania Nani wazembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakimbia paradiso wanaingia jehanamu, wengi ni hawkers na boda boda riders huku., Wangebaki paradiso, Ina maana Tz ndio jehanamu ya jehanamu[emoji23][emoji28][emoji1787]Sasa Kama Kenya ni jehanam Tz ndio itakuwa nini? Maanake inashangaza sana kwamba watz wamezamia kwa maelfu na maelfu huku 'jehanam' kuomba omba mitaani na kutuchafulia hadi miji midogo midogo kama Murang'a na Kericho.
Kwa hiyo kutumia dawa za mitishamba ni uchawi?Watanzania pia mnapenda uchawi na mazingaombwe. Badala ya kuenda hospitali kutibiwa kisayansi eti mnapiga nyungu ya miti shamba. Hata Waziri wa Afya ambaye ni daktari mzima anapiga nyungu.
MK254 mbona sisi Wakenya hatupigi nyungu sana kama Watanzania? Au ni kwa sababu sisi tunaaminia zaidi kupeleka watoto wetu hospitalini watakapopata matibabu ya kisayansi? Mbona sijawahi kuona Mkenya yeyote hususan hawa wanaoishi mjini wakipiga nyungu? Sasa waziri wa Afya akipiga nyungu na yeye ndiye amesomea medicine basi raia wa kawaida lazima afuate mkondo. Mimi kibinafsi siamini kama kupiga nyungu inaweza kuponya Corona, Malaria au Ugonjwa yoyote ile.
Hivi unajua kwamba ombaomba ni crime kwa sheria za Tanzania?, ukikutwa mitaani unaweza kukamatwa na kushitakiwa, ndio sababu wanakimbilia katika nchi ambayo ni law less countrySasa Kama Kenya ni jehanam Tz ndio itakuwa nini? Maanake inashangaza sana kwamba watz wamezamia kwa maelfu na maelfu huku 'jehanam' kuomba omba mitaani na kutuchafulia hadi miji midogo midogo kama Murang'a na Kericho.
Sio kenya tu hata tz ukiwa na connection unapitishwa[emoji1787][emoji1787] we huoni wa ethiopia wenye connection wanapitia tz lkn wale wanaobahatisha wanaambulia majanga.Kwahiyo ukiwa na connection unapitishwa "illegally?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi kabisa.
Maana hata huko kwao hatujawahi hata siku moja kusikia kwamba wamewakamata wasomali au waethiopia wakivuka Kenya. Kule ni business ambayo inalipa balaa. Wakenya wana smuggle watu na kuuza nje.
Hahahaha, Airport zetu sio huko kwenu, hata sindano huwezi kupitisha JNIA pasi kujulikana, that's why terrorists can't try to play with us, they know what will happen to them [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kenya tu hata tz ukiwa na connection unapitishwa[emoji1787][emoji1787] we huoni wa ethiopia wenye connection wanapitia tz lkn wale wanaobahatisha wanaambulia majanga
Njoo ujaribu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehe, hamna kitu hapo aisee.
Nina uwezo wa kuzama hadi hapo state house bila bughudha kabisa.
Halafu nshakwambia hamia Bongo, nakutafutia rafiki yangu akuoe na nitakupa ekari 5 uishi kwa raha na usalama, uachane na nchi ya kihuni hiyo.
Hatuna hamu na mtu ambae anapita mwnywe, nyinyi ndio mna wivu na roho za kichawi za kutafuta kiki na vyeo..Uko sahihi kabisa.
Maana hata huko kwao hatujawahi hata siku moja kusikia kwamba wamewakamata wasomali au waethiopia wakivuka Kenya. Kule ni business ambayo inalipa balaa. Wakenya wana smuggle watu na kuuza nje.
Njoo ujaribu basi[emoji1787][emoji1787]Huyo ni just common mwananchi anapenya na kudandia ndege, wale alshabaab wenye mbinu si wana uwezo kabisa wa kupenya na kulipua ndege ..
A banana Republic will always be banana republic
Kama Alshabaab wanashambulia Nairobi kadri wanavyopenda, unategemea nini?, mtoto wa miaka 16 anawezaje kuingia Airport bila kujulikana?Tatizo rushwa ,hapo sio bure unafikaje eneo la ndege ukiwa si msafir
Wale wa tz wanaofungwa uchina madawa wanayapitishia wapi[emoji1787][emoji1787]Hahahaha, Airport zetu sio huko kwenu, hata sindano huwezi kupitisha JNIA pasi kujulikana, that's why terrorists can't try to play with us, they know what will happen to them [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata paris huaga panavamiwa na wamewazidi tz kw mbali sana, yani haitajikiKama Alshabaab wanashambulia Nairobi kadri wanavyopenda, unategemea nini?, mtoto wa miaka 16 anawezaje kuingia Airport bila kujulikana?
Wamekuja wakachinja watu juzi hko mtwara na bado hamjawafanya kitu huki mkisingizia eti mumewamaliza[emoji1787][emoji1787]Hahahaha, Airport zetu sio huko kwenu, hata sindano huwezi kupitisha JNIA pasi kujulikana, that's why terrorists can't try to play with us, they know what will happen to them [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemkimbiza, aseme hajaskia yeye tu[emoji1787][emoji1787] game overUsiseme "HA" tujawahi! Jiseme wewe mwenyewe because you choose what kind of news want to consume!
Kenyan police arrest 9 Ethiopians for being in Kenya illegally - Xinhua | English.news.cn
Kenyan police on Sunday night arrested nine Ethiopians from a residential house in Nairobi for being in the country illegally.www.xinhuanet.com
Hahahaha, unajua kilichowakuta, IDD Amin alivyojaribu kutuchokonoa kilichomkuta ndio kilichowakuta magaidi wa Msumbuji, hutowasikia tena, sisi sio Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]Wamekuja wakachinja watu juzi hko mtwara na bado hamjawafanya kitu huki mkisingizia eti mumewamaliza[emoji1787][emoji1787]
Wanajeshi wamekoma mpakani tu wakisubiria eti mavamizi mengine