komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hta tz ukiwa na connection unaingiza madawa[emoji1787][emoji1787]Miaka 16 ana connection na airport! Connection Country
Kamuulize ngwear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hta tz ukiwa na connection unaingiza madawa[emoji1787][emoji1787]Miaka 16 ana connection na airport! Connection Country
Waliokua na connection wanapita kw sababu hata bongo sio wote wanaopita, upo "bibiye"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani unachobishia nini? (Illegal) human trafficking inahusisha pia viongozi corrupt kama wakenya. Na ni biashara inayopigwa vita duniani kote. Cha ajabu Kenya hata haijishughulishi kuwazuia kuzuia wauza watu kimagendo wakipita Nairobi kutoka Ethiopia au Somalia.
Huyo dogo kazamia kwenye ndege, hyo ni self issue, dogo kawapa Ksh ngap Aviation officers.Hta tz ukiwa na connection unaingiza madawa[emoji1787][emoji1787]
Kamuulize ngwear
Kamuulize ngwear atakwambia km ilikua anawapaga ngapiHuyo dogo kazamia kwenye ndege, hyo ni self issue, dogo kawapa Ksh ngap Aviation officers.
NB: madawa ni network kubwa
Kuelewa kwako wewe huwa kipengele. Kwa hyo unafananisha gwea aliekuwa 26+ na huyo dogo wa 16+Kamuulize ngwear atakwambia km ilikua anawapaga ngapi
NB: uzamiaji sio sawa na kwenda BUZA
Connection hta wa miaka mitano anavushwa, we unaongelea 16Kuelewa kwako wewe huwa kipengele. Kwa hyo unafananisha gwea aliekuwa 26+ na huyo dogo wa 16+
[emoji23][emoji23][emoji23] Komora katika ubora wakoConnection hta wa miaka mitano anavushwa, we unaongelea 16
Umeapnic, we jifungie chato hku ukifikiria umeshamaliza dunia..[emoji23][emoji23][emoji23] Komora katika ubora wako
Waliokua na connection wanapita kw sababu hata bongo sio wote wanaopita, upo "bibiye"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wahabeshi mtashika wale wasiokua na connectio hapo tz lkn walokonazo jamaa walishapita kitambo mnabaki kuwaonea wanyonge
sawa Komora [emoji23][emoji23][emoji23]Umeapnic, we jifungie chato hku ukifikiria umeshamaliza dunia..
Duniani kuna mambo zaidi ya nchi yako pendwa na yanafanywa na binadamu km wewe
Km vile mlivyowafanya akina zitto alafu mdee na wenzake wanadunda kw ndugaiNa Kenya wasio na connection mnawafanyeje?
Steam inhalation has proved effective in management of flue and several other respiratory problems ,
There are lots of local short acting inhalers doing the same especially for bronchodilation, they are all local acting, not systemic.
Go read about steam inhalation, dont wait for Mzungu to teach you everything. That minister of health is a medical doctor, not a cashier.
Km vile mlivyowafanya akina zitto alafu mdee na wenzake wanadunda kw ndugai
Bwahahaha!!hapa kw majibu tu, umefika jomba..Rudi kajipange, ndiyo utoe majibu.
Akili zako.. duh..!!Nyinyi wenyewe si huwa mnawapiga wanahabari rungu hadi wanabaki utumbo tu. RIP kwa huyo ndugu alipigwa na polisi wa Tanzania hadi akawa nyama
Hakuna anayefatilia mambo ya Kenya hilo tukio limetokea Uholanzi kwa mwananchi kuonyesha dunia mlivyo masikini hadi akaamua kuhatarisha maisha yakeSeems Ndugu zetu wa Tanganyika mnafuatilia Mambo ya Wakenya Sana,even the most minute issues,this is pathetic, immigrants try all they can to seek a better livelihood elsewhere,this is not a Kenyan problem, it's global, look at the Mexicans, North Africa, Ethiopia, Zimbabwe, etc, ata huyu wakenya alijaribu, the risk was low compared to those who use boats to cross oceans or the Ethiopians who are transported in cargo containers and they end up suffocating.
Nyani haoni gundule.....Hakuna anayefatilia mambo ya Kenya hilo tukio limetokea Uholanzi kwa mwananchi kuonyesha dunia mlivyo masikini hadi akaamua kuhatarisha maisha yake
Kenya ni shida mna dhiki hadi mnalazisha mkodishwe kwenye misiba mtoe machozi mlipweNyani haoni gundule.....
Watoto wa Tanganyika wamejaa Nairobi wakiombaomba
Kenya ni shida mna dhiki hadi mnalazisha mkodishwe kwenye misiba mtoe machozi mlipwe