komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mumebaki na maneno ya khanga[emoji1787][emoji1787]Hahahaha, unajua kilichowakuta, IDD Amin alivyojaribu kutuchokonoa kilichomkuta ndio kilichowakuta magaidi wa Msumbuji, hutowasikia tena, sisi sio Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Uko na ushahidi wowote ule wa kilichowakuta..
Jamaa walishafanya yao sai wapo msumbiji wanaandaa shambulizi lingine..