Mwanaume yeyote mwenye akili zake na baba bora kabisa mwenye kujua malezi... hawezi sio tu kulala na binti yake wa miaka 9... bali hata mtoto wake wa kiume. Miaka 9 kwa karne hii ni mtoto mkubwa sana...
God forbid... unaweza kukuta anakanyonyesha mgegedo...
Kuwa makini sana. Na uwe tayari kwa lolote.Sidhani, katasema tu. Ngoja nitafute safari ya wawili mimi na mtoto wa kambo. Tutapate muda mwingi wa kuzoeana na kubadilishana mawili matatu na pia nione itakuaje akiwa mbali na babake.
House girl ana familia yale as far as I know.House girl angeweza kulala na huyo binti. Ulijaribu kumuuluza kwanini house girl ni wa kuja na kuondoka?
Matoto ya junia huwa miyeyusho sana ukubwaniHaya malezi ndio yale ya kina "no junia nooo"
miaka 9 charaza bakora atie akili
Kabisa Kabisa Mkuu, Yaani hata kama ni uzungu miaka 9 hapana..Mwanaume yeyote mwenye akili zake na baba bora kabisa mwenye kujua malezi... hawezi sio tu kulala na binti yake wa miaka 9... bali hata mtoto wake wa kiume. Miaka 9 kwa karne hii ni mtoto mkubwa sana...
Huyo mtu wako ana matatizo. Huwezi jua kwanini mkewe alimkimbia na kumwacha na mtoto wa miezi 6.
Na miaka yote hiyo alikosa house girl wa kukaa na binti yake? Huyu baba ina maana hata jioni hawezi toka maana hawezi kumwacha binti peke yake, right?House girl ana familia yale as far as I know.
Sio sahihi hata kidogo, motto anatakiwa atoke kwenye chumba cha wazazi wake mara anapofifkisha miaka mitatu au minneSio kutubana tu, pia anatakiwa kujitegemea. Kulala peke yake ni moja ya hatua katika kuendea kujitegemea. Una ushauri wowote?
Itakua huwa anatoka nae kwenda kupata mbili tatu kidogo.. Jamaa inaonekana mzungu sana.Na miaka yote hiyo alikosa house girl wa kukaa na binti yake? Huyu baba ina maana hata jioni hawezi toka maana hawezi kumwacha binti peke yake, right?
Na miaka yote hiyo alikosa house girl wa kukaa na binti yake? Huyu baba ina maana hata jioni hawezi toka maana hawezi kumwacha binti peke yake, right?
Hahahaha we jamaa umemaliza kabisa. Dah!Itakua huwa anatoka nae kwenda kupata mbili tatu kidogo.. Jamaa inaonekana mzungu sana.
Si mnywaji, hivyo kwenye kwenda nae kwenye kinywaji sidhani ingawa siwezi kubet kwa hilo.Itakua huwa anatoka nae kwenda kupata mbili tatu kidogo.. Jamaa inaonekana mzungu sana.
Anyway...ngoja niishie hapo nisije nikahukumu bure.Kwa mujibu wake si mtokaji sana na ikibidi hutoka nae au humwacha kwa ndugu na kumpitia kwenda nyumbani.
Pia toka nimeanza nae mahusiano si mtu wa kutoka sana. Yuko involved na watoto n homeworks, games etc.
Kwa kutumia nguvu hatutaharibu zaidi?
Uttarra, huyo babake yeye anaona sawa kulala na mwanaye wa miaka 9 ?, kama jibu ni ndio, huyo baba nae ni tatizoNimemweleza babake karidhia. Ila natafuta njia nzuri ya kumwelewesha mtoto akubali kawa mkubwa kulala na baba sasa basi.
Mwache akikua ataacha.Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9.
Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana kwenye mkutano wa wazazi shuleni. Hali ya kuwa single parent ilituunganisha, tukajikuta tupo mapenzini. Tumekuwa msaada kwa kila mmoja wetu kwenye malezi.
Hatuishi pamoja officially ila tunatembeleana na sleepovers za mara kwa mara.
Tatizo ni huyu mtoto wangu kupitia mpenzi wangu, anapenda kulala na babake. Babake anasema ndio yuko hivyo kwani ameanza kumlea toka ana miezi 6 na hivyo kubidi kulala nae toka umri huo. Ameshindwa kum'wean'.
Akilala peke yake au na mwanangu hapati usingizi, inabidi aje chumbani kwetu tulale nae, either hadi asubuhi au tumhamishe kwa kumbeba akiwa ameshalala.
Naomba ushauri nifanye nini kumsaidia huyu mtoto aweze kujitegemea.
Natanguliza shukran wapendwa.
Haitaharibu, nguvu kiasi tena baba yake ndio afanye hivyo, amtengenezee mazingira mazuri ya kutamani kulala chumbani kwake, mwanzoni tulipata shida sana nikamuuliza anataka chumba chake kiwe vipi nikamtengenezea hivyo hivyo anavyotaka na kununua kununua Tv ndogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani haya matoto ya kisasa kama kuku wa kisasa shida.Litoto la boss wangu lipo form 6 mambo yake kama chekechea.Kubwaaaa lakini mara licheze mbele ya wazazi likate kiuno.Yani ni tafrani.Wakati linatakiwa kujitambua
Sent using Jamii Forums mobile app