Mkuu hayo mengine nakukubalia 100/100 lakini kwenye suala la chanzo cha mtoto kukojoa kitandani hilo ni tatizo linaloweza kuleta mjadala mkubwa sana.Mkuu House of Commons, those are not normal things, watoto wanatakiwa watenganishwe kulala na wazazi wao wanapofikisha miaka mitatu, hii inawasaidia kupanua akili zao ikiwemo kuanza mapema kujitegemea, mtoto wangu ana 2 years ameweza kujizuia hata kukojoa kitandani, mnapolala nao watoto wnaendelea kuamini kwamba mnatakiwa kumuamsha aende kukojoa
Umeongea njema kabisa. Watoto wa kike huwa wanajiona kama mama wa baba zao, hata mama yake mzazi hapendi awe karibu na baba yake sembuse mama wa kambo? Kwa kuwa wamekuwa wote na baba, anajiona ndiye mke hapo nyumbani na kitendo cha kumtenganisha na baba kitamuathiri kisaikolojia na hapo ndipo atatafuta a male kuwa karibu naye na huo utakuwa ndiyo mwanzo wa mtoto kuharibika. The same kwa mtoto wa kiume alomzoea mama yake.Unajua watoto wa kike wanahitaji sana ukaribu wa wazazi hasa mama ndio maana baba ukisafiri watoto wa kike huhamia kulala na mama. Tofauti na watoto wa kiume hata mama akiondoka hata siku moja hawahamiii kulala master bedroom.
Huyo mtoto kisaikolojia hayupo vizuri, amekosa ile lovw from her mother. Anahitaji upendo zaidi kuliko kumtoa kulala na baba ake.
Kama mama unahitaji kuonyesha upendo wa hali ya juu sana hata kama sio mwanao. Siku ukimfanyia vibaya atajisikia vibaya sana kwani anajua wewe sio mama ake.
Hata wewe kuanza kulala na baba ake hajisikii vizuri, anaona unamnyima haki yake ya kuwa karibu na baba ake. Baba ake ndio kila kitu , ndio faraja yake. Hivyo nakushauri uwe makini na chochote unacho kifanya kinacho badili mfumo wa maisha yake.
Kumtoa kwa nguvu ni kumwonea kwa sababu wewe ndio mgeni, njia rahisi ni kumpenda hadi atakapo elewa kuwa wewe ni mama ake anaye weza kukuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye 'kufanya yao' napo inabidi upaangalie vizuri watoto wote wafundisheni jinsi ya kuish kama ndugu yaan kaka na dada.Kwao ana chumba chake. Na pia nimempa chumba cha wageni akiwa kwangu na pia nimempa uhuru wa kulala chumbani kwa mwenzie. Anaweza kushinda huko wakifanya yao, tatizo ni usiku wakati wa kulala.
Umeongea vizuri sana mkuu afate ushauri huu pia utasaidiaUnajua watoto wa kike wanahitaji sana ukaribu wa wazazi hasa mama ndio maana baba ukisafiri watoto wa kike huhamia kulala na mama. Tofauti na watoto wa kiume hata mama akiondoka hata siku moja hawahamiii kulala master bedroom.
Huyo mtoto kisaikolojia hayupo vizuri, amekosa ile lovw from her mother. Anahitaji upendo zaidi kuliko kumtoa kulala na baba ake.
Kama mama unahitaji kuonyesha upendo wa hali ya juu sana hata kama sio mwanao. Siku ukimfanyia vibaya atajisikia vibaya sana kwani anajua wewe sio mama ake.
Hata wewe kuanza kulala na baba ake hajisikii vizuri, anaona unamnyima haki yake ya kuwa karibu na baba ake. Baba ake ndio kila kitu , ndio faraja yake. Hivyo nakushauri uwe makini na chochote unacho kifanya kinacho badili mfumo wa maisha yake.
Kumtoa kwa nguvu ni kumwonea kwa sababu wewe ndio mgeni, njia rahisi ni kumpenda hadi atakapo elewa kuwa wewe ni mama ake anaye weza kukuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chapa bakora mtoto anamshindaje huyo nae anatatizo iweje hadi umri huo bado analala na mwanae mwenzio ndo tatizo apo mpe mashart kama anakupenda atatekeleza isije ikawa anamtekenyatekenya usiku.Afundishwe vipi?
Kwenye hili uwe mshauli tu mtoto asikujengee picha mbaya baba mtu awajibike kwenye hili iwe kwa njia nzuri au kufosi keshakua huyoNimemweleza babake karidhia. Ila natafuta njia nzuri ya kumwelewesha mtoto akubali kawa mkubwa kulala na baba sasa basi.
Sidhani kama umeielewa mada vizuri... kuna mtu kazungumzia mawasiliano na ex wake hapa?Sasa ibilisi kivipi, we mkeo utafurahia awe na mawasiliano na ex wake kwa kisingizio cha mtoto?
Sio kila uwambiwalo linafaa chunga maadili huyo bwana ako anatatizo alitakiwa aepuke mapema kumpenda mtoto ni kumjenga kimaadili na sio kumuacha aharibike kisa unachunga hisia zake.Kwa nini unadhani hiyo ni hekima na malezi mema? Miaka 30? Au unasema tu kufurahisha?
Ndomana unakatazwa kumtaja Mungu au mtume pasipo stahili hii ndo hekima yake bila ya kujali zama na mila zao jamaa kamtukana mjumbe wa Mungu.umetumia lugha kali mno mkuu
mimi au aliyetukana ,kuna jambo la uongo ambalo nimeandika ?Ndomana unakatazwa kumtaja Mungu au mtume pasipo stahili hii ndo hekima yake bila ya kujali zama na mila zao jamaa kamtukana mjumbe wa Mungu.
Kuwa makini
Wewe ulie andika umesababisha atukane.uwongo hakuna ila chuki itaingizwa matokeo zinakuja kashfa.mimi au aliyetukana ,kuna jambo la uongo ambalo nimeandika ?
Unataka vita wewe na watoto Wa mamdogo.Mtume nae alikuwa kiwembe qumamamake, hadi mtoto wa miaka 6! Shame on him!!! Alitakiwa awe jela sahivi na mshenzi mwenzie R. Kelly.
Mtume nae alikuwa kiwembe qumamamake, hadi mtoto wa miaka 6! Shame on him!!! Alitakiwa awe jela sahivi na mshenzi mwenzie R. Kelly.
Aise kwakweli tatizo hilo hata mm binti yañgu nikiwepo hataki kukaa na MTU mwingine wala kulala mbali na mmKwani haiwezekani kufunguliwa kesi ya ubakaji?
[emoji23][emoji23]Mtume nae alikuwa kiwembe qumamamake, hadi mtoto wa miaka 6! Shame on him!!! Alitakiwa awe jela sahivi na mshenzi mwenzie R. Kelly.
Theres unconditional love between Dad and daughters tena bora wawe wengi. Akiwa mmoja tu ni balaa. Nina dada na nmeshuhudia dhahiri upendo baba aliokuwa anampa tofauti na sisi masela!Aise kwakweli tatizo hilo hata mm binti yañgu nikiwepo hataki kukaa na MTU mwingine wala kulala mbali na mm
Sent using Jamii Forums mobile app