Mtoto wa kiume anaelelewa na single mother kuna uwezekano mkubwa akawa "beta male"

Mtoto wa kiume anaelelewa na single mother kuna uwezekano mkubwa akawa "beta male"

Kuna siku humu humu j.f kuna mama aliweka koment kwamba yeye huwa anamuogesha mtoto wake wa kiume wa miaka 11 ili awe anamchunguza marinda, 😳

yani kitu cha kwanza hapo hivi unaogeshaje mvulana ana miaka 11 wakati mvulana huo umri tayar anakaribia balehe, hii sio sawa kabisa maana itaathiri saikolojia ya mtoto wa kiume kujiona hana mamlaka

kitu kiingine anasubiria tukio litokee alafu afanye nini??
Bora huyo,yupo singomaza aliyekuwa analala na kijana wake wa kiume aliyemaliza form 4 eti anamhurumia baridi mvua ikinyesha. Ni mambo ya ajabu yanatendeka humu duniani. Mama anafikia hatua ya kumwambia mwanae wa kiume amfunge zipu ya gauni lake nyuma. Kiukweli vijana wa kiume wanaolelewa na singomaza bila baba ni hasara kwa familia,jamii na taifa.
 
Nasisi wanaume, tuache kumbia mimba!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wanawake pia waache kuzaa zaa hovyo, kinga si zipo kwani lazima amzalie mwanaume mtoto? Sio wanawaume wote wanapenda watoto, wanawake wawe makini na mimba za kutegesha
Kila mtoto ni mipango ya Mungu ndo mana kuna walio kwenye ndoa na hawapati watoto..unaweza tegesha sehemu na usipate ila kama Mungu kapanga ni chap sana.
Mungu mnamwonea sana kumtwisha mizigo asiyo stahili
 
"...Nyumba inaweza kuvamiwa wazo likawa Kila mtu ajifiche" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna siku humu humu j.f kuna mama aliweka koment kwamba yeye huwa anamuogesha mtoto wake wa kiume wa miaka 11 ili awe anamchunguza marinda, 😳

yani kitu cha kwanza hapo hivi unaogeshaje mvulana ana miaka 11 wakati mvulana huo umri tayar anakaribia balehe, hii sio sawa kabisa maana itaathiri saikolojia ya mtoto wa kiume kujiona hana mamlaka

kitu kiingine anasubiria tukio litokee alafu afanye nini??
Kwa nnavokumbuka yule alikuwa ni Dingi
 
Mwanamke akiona kakosa soko kwa alpha males kwasababu ni single mother, chaguo lililobaki huwa ni kuwapa tiketi Beta males, hawa hawaonagi shida kuoa wanawake waliotafunwa na kuzalishwa na alpha males, Pia hawana noma kulea watoto ambao sio damu yao
Hiyo inaitwa kukosa confidence. But single mums wanaliwa pia na alpha males.
silaha kubwa aliyonayo mwanaume ni confidence yake
 
Hasara kwako wewe acha kuinclude mambo

Acha upuuuzi wewe

Jifunze kuhusu huu uzi.

Sio unakurupuka tu kujibu kuna somo la kujifunza hapa na sio dogo.

Unaporamia uzi bila kushirikisha ubongo wako ndo mwisho wa siku huyo kijana wako wanatatua marinda unaanza kulialia .Najua ni single maza na labda unachukia wanaume ila tuliza kichwa ujifunze kulea mtoto wa kiume na sio kuleta makasiriko wakati upo darasani.
 
Nakuomba pm
 
Apate mgao au adange kwa uhuru![emoji28] Matokeo yake ndio ana risk ndoa anafumaniwa anaona sawa tu waachane af baada ya muda anaangukia kwenye majuto tu!
Baadae wanakuja kusema wanaume ni wabaya. Halaf kila single mother unae muuliza kulikoni.. huwa wanasema mwanaume ndio chanzo.. lakini huto kaa usikie wakisema wao ndio chanzo.
 
Watoto mchelemchele...

Ukweli kwa sasa kulea mtoto wa kiume inahitaji mpango kazi kabisa.... Madogo wamekuwa walaini sana... Wanatamani vitu vya dada zao siku hzi.... Hawana jambo kabisa...

Wanaume tunaoungua sana....unafikiri watu sampuli ya juma lokole watalea vipi watoto wao wa kiume..
 
Sababu kubwa ni kwasababu wanawake wanalea watoto kwa kuwalinda dhidi ya changamoto, wao wamejikita zaidi kuwa kama miamvuli huku wanaume wanafundisha watoto jinsi ya kukabiliana na matatizo ya hii dunia.

Pia mwanamke ana roho laini sana iliyojaa huruma iliyopitiliza (compassion) kwa mtoto wake wakiume, mtoto wa kiume hawezi kukuzwa hivyo kuwa mwanaume rijali, dunia hii haina huruma kwa wanaume, ukikosea kuna majuto yake, mtoto wa kiume ni vema kumuandaa mapema kwa hii hali, pale anapokosea mpe adhabu hata kama atapatwa na maumivu ili ajue mapema uhalisia wa dunia, hapa kina mama huwa hawawezi kabisa kuona watoto wao wakipata adhabu zinazowatesa hata kama zinawafunza uhalisia wa dunia

Badala ya mtoto kuwa mwanaume (Alpha) anaweza kuwa wa kiume (Beta0

ALPHA​
BETA​
Hujilaumu yeye mwenyewe kwa makosa aliyofanya​
Hutafuta watu wa kuwaangushia lawama au visiingizio kwa makosa yake​
Wanajiamini sana, hukabiliana na tatizo​
Wana asili ya uoga, hukimbia matatizo​
Huwa na asili ya uongozi wakiwa kwenye vikundi, akiwa kwenye mazungumzo anasikilizwa sana na wenzake​
Hawaoni kero yoyote katika kuongozwa, kutumwa, n.k​
huwaona wanawake kama wasaidizi wao, kwenye mahusiano wao ndio wanataka wawe wa kusikilizwa na kufanya maamuzi,​
Huwaona wanawake kama madini, huwanyeyekea sana, kwenye mahusiano si ajabu kukuta mwanamke ana kauli kubwa ya kuwaaamuru wafanye nini,​
Hawaogopi kujitetea kwa kutumia miili yao​
Wanaogopa sana ugomvi wa ngumi​
Maisha yao huongozwa kwa kiasi kikubwa vile wanavyotaka wao​
Maisha yao huendeshwa kwa kiasi kikubwa na mawazo ya wngine​
Watu upenda kuwaomba usauri na muongzo kwenye changamoto za kimaisha​
Hupenda kuomba ushuri kwa Alpha males​
Hawapendi kuoa single mothers na kulea watoto wasio wao​
Hawaoni shida kuoa single mothers wenye watoto, kwao kulea mtoto wa mwanaume mwengi sio taabu​
Hawana unafki, wanapenda kuyatoa kama talivyo​
Wapo indirect​
Hupaza sauti wanapoona hakuna usawa / haki​
Husuburi wengine wawapazie sauti​
Hawasiti kuchukua hatua yoyote kulinda watu wao wa karibu, anaweza kufa kwa mateso ili kulinda watu wake​
Hujiangalia kwanza usalama wao, hapa nyumba inaweza kuvamiwa, wazo likawa kila mtu ajifiche​
Ah ah ah ah! Si kweli mkuu...umegenerallize sana.
 
Bora huyo,yupo singomaza aliyekuwa analala na kijana wake wa kiume aliyemaliza form 4 eti anamhurumia baridi mvua ikinyesha. Ni mambo ya ajabu yanatendeka humu duniani. Mama anafikia hatua ya kumwambia mwanae wa kiume amfunge zipu ya gauni lake nyuma. Kiukweli vijana wa kiume wanaolelewa na singomaza bila baba ni hasara kwa familia,jamii na taifa.
Acha ujinga wew fala hivi hujui kati ya watu wanaofanikiwa zaidi na kupambana zaidi duniani wametoka familia zilizogawanyika angalia at akina ronaldo bieber hata bongo mondi ni mfano afu wew fala mmoja unasema sema tu upuuzi
 
Inategemea na single maza wa karne ipi mkuu...???

Wamaza wa miaka hio walikuwa wanavaa uhusika wa Baba,,walikuwa hawataki mchezo mchezo
 
Usiishie Beta, kuna wengine wanaweza kuwa hata Delta Male na Omicron Male ?😆
 
Ukweli usemwe single maza wengi wamechangia sana kuharibika watoto hasa wakiume !

Single maza wengi huwalea watoto wa kiume kama wanawake wenzao au wanawake...

Ukweli ni kwamba mtoto wa kiume ana hitaji kuwa karibu na wajomba, wababa au wanaume wanaomzunguka kuliko kuwa na mama kila muda!

Watoto wa kiume wengi wanaharibiwa na mama zao kwa fashio iliyo ingia ya kulea mwenyewe mtoto bila kushirikisha mtu yeyote kisa baba wa mtoto haeleweki.... watoto wakiume wengi wamekuwa kama mashoga wakiwa wadogo na chanzo kikuu kikiwa mama zao!

Single maza wengine hata kuwapeleka watoto kwa wajomba au baba zao wadogo kuchanganyika ni mwiko wakidhani ni fashion au malezi mazuri .
 
Back
Top Bottom