Mtoto wa kiume anaelelewa na single mother kuna uwezekano mkubwa akawa "beta male"

Mimi kijana akifika miaka 7 anakoga mwenyewe ila maramoja moja namfuatilia akiwa anakoga nione anavyoona na mambo mengine ya kiume kijana wako kama ni rajali utaona ukienda kumuangalia anakoga lazima aone aibu lakini akienda mama yake haoni aibu unajua huyo ni dume haogopi jinsia ya kike
 
Acha ujinga wew fala hivi hujui kati ya watu wanaofanikiwa zaidi na kupambana zaidi duniani wametoka familia zilizogawanyika angalia at akina ronaldo bieber hata bongo mondi ni mfano afu wew fala mmoja unasema sema tu upuuzi
Hongera singomaza,nakutakia kila la heri.
 
Hell no! Absolutely no!
Naipinga hi hoja So kweli kua watt wa kiume wengi waliolelewa na mama Kuna uwezekani mkubwa kua beta males

In case you didn't know! Almost great people ever walked in this world were raised by their single mom!!!

Isack newton(her mom later got married to another man),Barack Obama, jay Z,Thomas Edison, keenu reeves,Kanye west , Leonard do caprio ,John Stewart, Nikola Tesla, etc etc etc etc
Now you tell me all these men's above do they look like beta males to you,,,,,

in short the chance is 50 it of 50 stop making excuses tafuteni pesa wakuu 😂😂



 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbna mashoga wengine wanatoka familia iliyo na wazazi wote wawili, tena yenye msingi imaraa. Mmmmh
 
Waangamiao ni wanaopuuza maarifa, angalia mambo yanayoendelea huko marekani na ulaya, watoto wa kiume wengi wanalelewa na single mothers na wengi huishia kuwa majanga
Mazingira wanayokulia watoto ndio tatizo, maeneo kama magomeni, Kinondoni kuna mabasha wengi ndio maana vijana wadogo wanaishia kulawitiwa. Wapo wengi tu mikoani na watoto wapo poa tu.

Hili nalikataa kabisa chagua mazingira mazuri kwa familia yako.
 
Mazingira wanayokulia watoto ndio tatizo, maeneo kama magomeni, Kinondoni kuna mabasha wengi ndio maana vijana wadogo wanaishia kulawitiwa. Wapo wengi tu mikoani na watoto wapo poa tu.

Hili nalikataa kabisa chagua mazingira mazuri kwa familia yako.
Sasa hivi hata huko mikoani kumeharibika, ukweli usemwe na wengi wanatoka mikoani wanajazana Dar,
Ushoga hausababishwi na single mothers tyuuh, kna factors nyingi mno. Watu wakitoa ukweli mnakimbilia modes wafute nyuzi sasa mnahaha nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema tyuuh %kubwa ya mashoga wa mikoani wana upeo na Elimu, pia wanajua kujitafutia maisha yao, hapo wapo kwa sex orrients tyuu, ,tofaut na Dar walozoea kila kitu kufanyiwa. Uwiiiiih
 
Kazi ipo [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Waangamiao ni wanaopuuza maarifa, angalia mambo yanayoendelea huko marekani na ulaya, watoto wa kiume wengi wanalelewa na single mothers na wengi huishia kuwa majanga
Huyu unakuta na yeye ni Beta male na ni mhanga wa haya malezi. Otherwise why aje kupinga. Ni sawa na ukiongelea ugaidi mtu aje kupinga it means anasapoti ugaidi.
 
Wanawake pia waache kuzaa zaa hovyo, kinga si zipo kwani lazima amzalie mwanaume mtoto? Sio wanawaume wote wanapenda watoto, wanawake wawe makini na mimba za kutegesha
Kuzaa sio kosa. Ukizaa ndani ya ndoa na mahusino ya heshima nini kinatokea wadhani..... Mpango wa MUNGU ni watu kuzaa na kupata watoto ndani ya familia na si vinginevyo. Mbona wakina mama wa miaka hiyo walipata watoto hata kumi na tano na haikuwa issue.

So swala ni kujizalia hovyo hovyo kama kuku wa amadoli. Na hii wanawake wasilaumu mwanaume yoyote sababu ni matokeo ya maamuzi na tamaa zao. Anazaa na mume wa mtu sababu alimletea mapozi kijana mtaratibu asie na mali na uwezo wa kumpa mahitaji.
 
Hivi wewe una akili sawa sawa?! Hivi utamu wa ile kitu unachomoaje sasa ikishakuwa kwenye over drive?!

Kuchomoa ile kitu ikishabutuka ni sawa na kuruka kutoka kwenye gari iliyo katika kasi ya 360km/hr. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We unaweza ruka katika kasi hiyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…