Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Katika kitu nilichojifunza katika mahangaiko ya dunia yangu ukweli ni kuwa mtoto wa kiume apewe support kubwa ukilinganisha na wa kike.
Mtoto asome asisome apewe support asipewe support mwisho wa siku lazima atakuwa chini ya mamlaka ya mwanaume achana na hao wanaojiita single mothers mtoto wa kiume asipopewa support mpaka afikie kuyasimamisha yake na yaeleweke anakuwa amepitia mengi sana.