Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kabisa mkuu amna mtu anapenda unakuta graduate yuko hm mwaka 5 apendi ila michongo bado aijasoma na tunaumia sana.Hakuna laana yoyote.
Hakuna anaependa kuishi kwa mtu, hata nyumbani tu watu hawapendi kuishi. Ni mtu kukosa alternative ndio anaamua kuishi kwa watu.
Kuishi kwa shemeji hakuna ubaya wowote as long as unaishi pale temporarily huku ukiweka michongo yako sawa.