Mtoto wa kiume hasa hasa graduate kamwe usikubali kuishi kwa shemeji yako ( mme wake na dada yako) ni laana

Mtoto wa kiume hasa hasa graduate kamwe usikubali kuishi kwa shemeji yako ( mme wake na dada yako) ni laana

Mkuu nilishawahi kukaa kwa shemeji mwezi mzima hakuwahi kunitesa enzi ninasoma Ila scenario yenyewe ni kwamba alikua bado hajamuoa dada dada alikua Home mimi nilikua kwa jamaa aseeh siku wahi kupata amani Ata kidogo. Niwapongeze wanaoweza kuishi kwa shemeji wakamaliza mwaka

Naunga mkono hoja vijana bora wakae makwao!
Yan wew ndo huna kabisa akili et dada yuko nyumban afu wew ndio unalala nashemej yako hapo lazima uliwe tu hamna namna
 
Bado wewe unashida ya mindset ya ku generalise huwenda huyo graduate tayari ashaanza hayo au anasubiri kuanza
vijana wa siku izi wana big expectations kiasi kwamba haoni umhimu wa kuanzia chini,sasa kuna logic gan utoke kwenu ambako wew na dadako mlikulia uende kuishi kwa shemejio?si afadhali ukae kwenu tu kuliko kufedheheka kwa watu au wew unaonaje,naheshimu mtazamo wako ila kwangu big no!
 
Kwa hoja inakosa mantiki kuhusu dhana nzima ya kuishi kwa shemeji kwa sababu kwa hali ya kawaida hata kama unaishi kwa wazazi wako si busara kubweteka, ni lazima ujishughulishe kwa namna yoyote iliyo halali.
bora ukae wa wazaz wako,kwa shemej nikufedhehesha familia yenu.ova!
 
vijana wa siku izi wana big expectations kiasi kwamba haoni umhimu wa kuanzia chini,sasa kuna logic gan utoke kwenu ambako wew na dadako mlikulia uende kuishi kwa shemejio?si afadhali ukae kwenu tu kuliko kufedheheka kwa watu au wew unaonaje,naheshimu mtazamo wako ila kwangu big no!
Pengine kwao ni kijijini sana kwaiyo kaamua kwenda kuanzia maisha mahali penye mzunguko mkubwa
 
Wakuu kwema

Hizi mvua mvua zinazonyesha hapa Bariadi leo nimeshuhudia graduates anayeishi kwa dada yake akipewa maelekezo na shemeji yake (mme wake na dada yake), ahamishe trip nne za mchanga (matipa/malori manne) kutoa nje kifusi cha mchanga kuingiza uwani (ndani ya fensi/ uzio).

Sababu mvua zinanyesha mchanga unasombwa na maji, jamaa ana mwili mdogo halafu kapewa amri ya kuingiza mlima mkubwa wa mchanga peke yake 🥺 aisee. Yaani mchanga wa kuzungushia mawe tu kisha hautabebwa na maji ila dogo kaambiwa wote uingie ndani tena kwa kutumia ndoo za lita tano tano.

Mimi Omoyogwane kwa ule mlima ukiniambia niubebe wote ngetumia hata mwezi mzima ila dogo kaambiwa aungize mchanga wote ndani ya siku moja 😆 .

Aisee mtoto wa kiume usikubali kuishi kwa shemeji yako ni laana ni kheri kuwa mfungwa ila sio kukaa kwa shemeji yako.

Niliyoyaona leo yamenifikirisha sana kuna vijana wanapitia magumu sana.

Nawasilisha.
Hapo bado ukute nyumba wanayoishi haina ceiling board usiku dadako anakazwa unasikia miguno yote na jinsi dadako anaililia🤣🤣🤣
 
Pengine kwao ni kijijini sana kwaiyo kaamua kwenda kuanzia maisha mahali penye mzunguko mkubwa
huo mzunguko mkubwa unakusaidia vipi wakati huna unalofanya zaid ya kugombea uji lishe na junior?...shida watu wamekariri maisha lazma uanzie mjini na hapo ndipo fedheha kama hizi za kulala sebuleni kwa shemej huanza!
 
Back
Top Bottom