Mtoto wa kiume hasa hasa graduate kamwe usikubali kuishi kwa shemeji yako ( mme wake na dada yako) ni laana

Mtoto wa kiume hasa hasa graduate kamwe usikubali kuishi kwa shemeji yako ( mme wake na dada yako) ni laana

Kijana akiwa na kazi na pesa yake unadhani atalazimika kukaa kwa dada yake? Ukiona hivyo ujue sio kwa kupenda kwake, Bali maisha yanamlazimu. Tujifunze kuwaonea huruma na kuwapa moyo vijana wanaopambana kujitafuta, kama msaada hakuna basi angalau tusiwavunje mioyo.
 
Mkuu nilishawahi kukaa kwa shemeji mwezi mzima hakuwahi kunitesa enzi ninasoma Ila scenario yenyewe ni kwamba alikua bado hajamuoa dada dada alikua Home mimi nilikua kwa jamaa aseeh siku wahi kupata amani Ata kidogo. Niwapongeze wanaoweza kuishi kwa shemeji wakamaliza mwaka

Naunga mkono hoja vijana bora wakae makwao!
kwa hiyo alikuwa alikuwa anakufanyia.......
 
Unakuta wanavutwa masikio na vi~kina "junia"na kupokonywa nyama wanabaki kuchekacheka sababu ya kupenda mserereko!!heri urudi kwenu ukakae kuliko kwa shemeji maana unapelekea dadako kukazwa kwa hasira ili usikie uondoke ila unakuta mtu na mzuzu wake yupo tu....inasikitisha sana!
Wengi wao hawapendi ila maisha yanawalazimisha sema hakuna shida ya kudumu
 
Maisha hayana kanuni moja!

Sio vizuri kufanya hitimisho kwa scenario moja!!

Kuna baadhi ya ndugu wa make huwa no majinga sana!!
 
Wengi wao hawapendi ila maisha yanawalazimisha sema hakuna shida ya kudumu
shida ni mindset kwamba ukisoma lazma uajiriwe,ila ukijitosa mtaani mbona kuna kazi za nguvu na watu tumepatia mitaji huko na maisha yanaenda....hata mimi ilinitesa japo sikuwahi kuishi kwa mtu,shida wasomi vijana hawatak kuanzia chini
 
Kuishi kwa shemeji ni maumivu makali.

Usiku unasikia lijamaa linamfumua dada ako ni vilioo tuuu asssshhhhh oooohhh baba junior CHOMOA NIJAMBE

Hapo sasa ndo lijamaa linazidisha mikito ya kijasusi unasikia tu FOKOH FOKOH FOKOH FOKOH FOKOH

Unapata hasiraaa unameza fundo la mate kwa uchunguu mkali.....unang'ata godoro
 
Naungana na mleta mada
NB;Muda mwingine unakosa chaguo unalazimika kukaa
 
Kuishi kwa shemeji ni maumivu makali.

Usiku unasikia lijamaa linamfumua dada ako ni vilioo tuuu asssshhhhh oooohhh baba junior CHOMOA NIJAMBE

Hapo sasa ndo lijamaa linazidisha mikito ya kijasusi unasikia tu FOKOH FOKOH FOKOH FOKOH FOKOH

Unapata hasiraaa unameza fundo la mate kwa uchunguu mkali.....unang'ata godoro
 
Wakuu kwema

Hizi mvua mvua zinazonyesha hapa Bariadi leo nimeshuhudia graduates anayeishi kwa dada yake akipewa maelekezo na shemeji yake (mme wake na dada yake), ahamishe trip nne za mchanga (matipa/malori manne) kutoa nje kifusi cha mchanga kuingiza uwani (ndani ya fensi/ uzio).

Sababu mvua zinanyesha mchanga unasombwa na maji, jamaa ana mwili mdogo halafu kapewa amri ya kuingiza mlima mkubwa wa mchanga peke yake 🥺 aisee. Yaani mchanga wa kuzungushia mawe tu kisha hautabebwa na maji ila dogo kaambiwa wote uingie ndani tena kwa kutumia ndoo za lita tano tano.

Mimi Omoyogwane kwa ule mlima ukiniambia niubebe wote ngetumia hata mwezi mzima ila dogo kaambiwa aungize mchanga wote ndani ya siku moja 😆 .

Aisee mtoto wa kiume usikubali kuishi kwa shemeji yako ni laana ni kheri kuwa mfungwa ila sio kukaa kwa shemeji yako.

Niliyoyaona leo yamenifikirisha sana kuna vijana wanapitia magumu sana.

Nawasilisha.
Afanye hata bodaboda siyo mbaya, boda wanathaminiwa sana na wake za watu ndo maana wanatunukiwa sana. Aache uzembe.
 
dont take it personal,huwezi kaa kwa dada kwa kisingizio cha michongo haijakaa sawa,wapo raia wana hustle toka chini na maisha yanaenda!changamoto zipo but dont let them screw you up kiasi ukae kwa shemeji yako,shida wengi vi~elimu vinawaponza na kuchagua kazi za show off,man kama wewe unakaa kwa shemejio hadi sasa,then you are the one need to grow up!
Hapa mzee umefanya kama vile kwenye maisha watu wote wanapitia similar situations. Ila basi
 
Hapa mzee umefanya kama vile kwenye maisha watu wote wanapitia similar situations. Ila basi
ninachopinga mimi ni mtu kukaa kwa shemeji huku hana effort yeyote kujikwamua wakat kuna vibarua mtaani na watu wanafanya wana family,wamepanga na wanasomesha plus kusaidia wazazi,sasa iweje wew kijana ukae,ule msosi wa shemeji,this is not right hasa kwa maisha ya sasa!...karibu %80 ya watu wameanzia chini na kukua!maisha ni magumu mkuu ila tusibweteke!
 
Back
Top Bottom