Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kabisa mkuu amna mtu anapenda unakuta graduate yuko hm mwaka 5 apendi ila michongo bado aijasoma na tunaumia sana.Hakuna laana yoyote.
Hakuna anaependa kuishi kwa mtu, hata nyumbani tu watu hawapendi kuishi. Ni mtu kukosa alternative ndio anaamua kuishi kwa watu.
Kuishi kwa shemeji hakuna ubaya wowote as long as unaishi pale temporarily huku ukiweka michongo yako sawa.
ila uvumilie utakapoona dadaako anafanyiwa mambo sivyo na huyo shemeji yenu kaa kimya hata akishushiwa natusi na kipondo usiingilie ugomvi wao kumsaidia dadaakoUmeshasema hao watu wanatokea familia masikini, halafu unataka waone aibu, kipi bora, uwe arrogant ufe na njaa ama uwe humble uishi kwa shemeji huku ukila na kutafta alternative ya maisha?. Uone aibu ufe njaa ama usione aibu uishi? Mimi nitachagua kuishi, aibu ni ya muda kifo ni cha milele.
Mkuu humu Jf kila mtu ni mjuaji sana achana nao, mimi mwenyewe nimekulia kwa mjomba wangu kwa miaka 4 mpka nilivojipata ndo nikaondoka leo yeye hayupo wanae ndo wananiangalia mimiMaisha mnayachukulia poa sana kisa mmejipata mnawadharau wanaokaa kwa mashemeji,Mimi nimekaa kwa shemeji miaka 3 nilivyojipata nikaondoka Leo ndio nawalea watoto wake baada ya yeye kutangulia mbele ya haki.
Vijana wanakua na story za kudanganyana humu !! Kuishi kwa mtu sio jambo la aibu , Mradi unaweka mipango sawa ! Utaondoka mambo yakikaa sawa !Maisha mnayachukulia poa sana kisa mmejipata mnawadharau wanaokaa kwa mashemeji,Mimi nimekaa kwa shemeji miaka 3 nilivyojipata nikaondoka Leo ndio nawalea watoto wake baada ya yeye kutangulia mbele ya haki.
sasa vijana wenyewe wanapenda maisha ya showoff wanaona bora wabanane hapo hapo tena bora huko mikoani lakini DSM kukaa kwa shemeji kama ni mtoto wa kiume ni fedheha kubwa maana unakuta wengine kanyumba hakana ceiling board sasa shughuli zote za chumbani sinasikika siku ukikuta wamefungulia radio chumbani alafu wako ndani tambua wanangoneka ,alafu jamaa limekaa sebuleni linaangalia TV.Hii ni aibu na haipendezi dadaako anapigwa miti na we upo hapohapo, hata kama mnamtegemea huyo dada na kumuona ni mkombozi
You need to grow upje,tone la damu laweza badili rangi ya maji ziwani!just curious!
Mkuu kama nilivyosema awali, hakuna anaependa kuishi kwa shemeji yake, ni watu kukosa alternative. Sio tu kwa shemeji hata nyumbani kwenu hupaswi kuishi pale maana uhuru kamili unaupata ukiwa kwako tu, maana hata nyumbani mzee ana masharti yake na bado anaweza kumfanyia mama ubaya na uko pale na ukakosa cha kufanya.ila uvumilie utakapoona dadaako anafanyiwa mambo sivyo na huyo shemeji yenu kaa kimya hata akishushiwa natusi na kipondo usiingilie ugomvi wao kumsaidia dadaako
dont take it personal,huwezi kaa kwa dada kwa kisingizio cha michongo haijakaa sawa,wapo raia wana hustle toka chini na maisha yanaenda!changamoto zipo but dont let them screw you up kiasi ukae kwa shemeji yako,shida wengi vi~elimu vinawaponza na kuchagua kazi za show off,man kama wewe unakaa kwa shemejio hadi sasa,then you are the one need to grow up!You need to grow up
How did we reach to this foolish mentality as a country ?
Hasa hasa aliposema ndoo ya litre 5. Sijui kama kuna ndoo ya ujazo huo, labda aseme 'Kisado' (Sadolin) Ndiyo huwa vina ujazo huo.Naunga mkono hoja
Ila hilo la kuhamisha mlima wa mchanga,mbona kama umeamua kutunywesha Chai ya saa kumi ?
Simba and YangaHow did we reach to this foolish mentality as a country ?
Hapana, kila mtu anatakiwa kulea watoto wake.hata kama hukukaa hapo unapaswa kulea watoto wa dada yako
Kwa kweliVijana wanakua na story za kudanganyana humu !! Kuishi kwa mtu sio jambo la aibu , Mradi unaweka mipango sawa ! Utaondoka mambo yakikaa sawa !
Mdogo wa mke wangu (shemeji) alipohitimu hakuwa na kazi alikuja kukaa na sisi alikua mtu mwema sana na kijana mstaarabu alikaa mwaka mzima bila changamoto wala tatizo lolote! kipindi hicho tulikua hatujabahatika kupata mtoto maana wife alikua ana changamoto ya uzazi. Nyumba yetu ni kubwa kiasi ina vyumba vinne vya kulala
Hakua akibanwa kwa kazi yeyote tulimpa uhuru wote kwa sababu alikua anajitambua na mstaarabu na mpaka anapata kazi vitu vya kuanzia maisha nilimnunulia na pesa ya kuanzia.
Kuna watu ni wachoyo na wana roho za kimaskini lakini kwenye maisha lazima upitie kwa watu. Sasa wewe una jumba lote hilo mtoto akahangaike kupanga eti kisa unamkaza dada ake 🤣🤣 hata wakija kwenu mnajifanyisha vitendo visivyo vya kiustaarabu ili akwazike acheni roho mbaya ! Mnampa mikazi ya kuvunja mgongo mtoto anafyatua hadi matofali , Mungu hapendi
Utakuja ufe hiyo mitoto yako anachukua nani au watakaa kwa nani wajomba na mashangazi ndo watawalea ! Be nice to others
Kwa hio na wewe unakua umeolewa?Unakaaje kwa shemeji bwana?
Wewe unataka kusemaje amani uliikosa muda gani? Alikubandua?Mkuu nilishawahi kukaa kwa shemeji mwezi mzima hakuwahi kunitesa enzi ninasoma Ila scenario yenyewe ni kwamba alikua bado hajamuoa dada dada alikua Home mimi nilikua kwa jamaa aseeh siku wahi kupata amani Ata kidogo. Niwapongeze wanaoweza kuishi kwa shemeji wakamaliza mwaka
Naunga mkono hoja vijana bora wakae makwao!