Mtoto wa kiume hasa hasa graduate kamwe usikubali kuishi kwa shemeji yako ( mme wake na dada yako) ni laana

Yan wew ndo huna kabisa akili et dada yuko nyumban afu wew ndio unalala nashemej yako hapo lazima uliwe tu hamna namna
 
Bado wewe unashida ya mindset ya ku generalise huwenda huyo graduate tayari ashaanza hayo au anasubiri kuanza
vijana wa siku izi wana big expectations kiasi kwamba haoni umhimu wa kuanzia chini,sasa kuna logic gan utoke kwenu ambako wew na dadako mlikulia uende kuishi kwa shemejio?si afadhali ukae kwenu tu kuliko kufedheheka kwa watu au wew unaonaje,naheshimu mtazamo wako ila kwangu big no!
 
Kwa hoja inakosa mantiki kuhusu dhana nzima ya kuishi kwa shemeji kwa sababu kwa hali ya kawaida hata kama unaishi kwa wazazi wako si busara kubweteka, ni lazima ujishughulishe kwa namna yoyote iliyo halali.
bora ukae wa wazaz wako,kwa shemej nikufedhehesha familia yenu.ova!
 
Pengine kwao ni kijijini sana kwaiyo kaamua kwenda kuanzia maisha mahali penye mzunguko mkubwa
 
Hapo bado ukute nyumba wanayoishi haina ceiling board usiku dadako anakazwa unasikia miguno yote na jinsi dadako anaililia🤣🤣🤣
 
Pengine kwao ni kijijini sana kwaiyo kaamua kwenda kuanzia maisha mahali penye mzunguko mkubwa
huo mzunguko mkubwa unakusaidia vipi wakati huna unalofanya zaid ya kugombea uji lishe na junior?...shida watu wamekariri maisha lazma uanzie mjini na hapo ndipo fedheha kama hizi za kulala sebuleni kwa shemej huanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…