Mtoto wa kiume miaka 6 kulia kila saa bila sababu ya msingi

ndonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
894
Reaction score
1,635
Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv.

Huyu dada ni singo mama...
Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao

Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia..
Akivaa nguo analia,..akiwa anakula msos ukidondoka analia,.akichafua kitu bahat mbaya analia,

Akicheza na wenzio kitu kidogo tu analia,na mama ake ndo kumbembeeleza bas kama yai

Kiufup dogo analia had anakera sasa sjui,,ni mim macho yangu ya kiafrika au ni kawaida wadau.

Maana nilimchana huyo rafik yangu kuwa hii sio sawa kwakwel mtoto wa kiume kulia lia hiv muda wote..bas kani mind kinoma.😁😁

Ofcourse hainihusu ila nachotaka ni kujua hiv hii ni kawaida au
 
Kama analia basi Kuna shida ni vema ikafanyiwa utafiti mapema tena hospital ili ajue anamsaidiaje mtoto
Sio busara kumlaumu mtoto wa 6yrs pasi na kujaribu kumsaidia
 
Dogo hana shida yoyote .ni anadeka tu..angekua anashida bas hata akicheza au akilala awe analia..ila hua analia pale akiwa amefanya kitu ambacho ahajakipenda..option yake ni kulia
 
Hata wa kike hapaswi kudeka kupitiliza.
 
Inawezeka mwanangu wa 6yrs akiwa anacheza game akifeli analia na hii tumegundua ni specific game, akilia tu huwa tunachukua ipad tunaweka mbali baadae akicheza halii tena ila hako katabia kuna siku kanaibuka.
 
Kama analia basi Kuna shida ni vema ikafanyiwa utafiti mapema tena hospital ili ajue anamsaidiaje mtoto
Sio busara kumlaumu mtoto wa 6yrs pasi na kujaribu kumsaidia
Mtoto akidondosha kitu chake analia unataka apelekwe hospitali? Serious?

Apelekwe hospitali au apelekewe bakora akili imkae sawa
 
Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv.

Huyu dada ni singo mama...
Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao

Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia..
Akivaa nguo analia,..akiwa anakula msos ukidondoka analia,.akichafua kitu bahat mbaya analia,

Akicheza na wenzio kitu kidogo tu analia,na mama ake ndo kumbembeeleza bas kama yai

Kiufup dogo analia had anakera sasa sjui,,ni mim macho yangu ya kiafrika au ni kawaida wadau.

Maana nilimchana huyo rafik yangu kuwa hii sio sawa kwakwel mtoto wa kiume kulia lia hiv muda wote..bas kani mind kinoma.😁😁

Ofcourse hainihusu ila nachotaka ni kujua hiv hii ni kawaida au
Kifupi tuu huyo ni upcoming bwabwa mjadala ufungwe!
 
Hata wa kike hapaswi kudeka kupitiliza.
Inawezeka mwanangu wa 6yrs akiwa anacheza game akifeli analia na hii tumegundua ni specific game, akilia tu huwa tunachukua ipad tunaweka mbali baadae akicheza halii tena ila hako katabia kuna siku kanaibuka.
Huyu yeye analia kwenye kila kitu..akiangusha kitu vhake analia,akila chakula kikianguka analia,akivaa nguo ikiwa haipit vzur au kiatu analia,akiangalia tv internet ikikata au network ikiwa mbaya analia,.akiwa na ipad likija tangazo /adds analia,..yaan yeye ni kulia tu had abembelezwe
 
Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv.

Huyu dada ni singo mama...
Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao

Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia..
Akivaa nguo analia,..akiwa anakula msos ukidondoka analia,.akichafua kitu bahat mbaya analia,

Akicheza na wenzio kitu kidogo tu analia,na mama ake ndo kumbembeeleza bas kama yai

Kiufup dogo analia had anakera sasa sjui,,ni mim macho yangu ya kiafrika au ni kawaida wadau.

Maana nilimchana huyo rafik yangu kuwa hii sio sawa kwakwel mtoto wa kiume kulia lia hiv muda wote..bas kani mind kinoma.😁😁

Ofcourse hainihusu ila nachotaka ni kujua hiv hii ni kawaida au
akinyamaza atakua na ile kiburi ngumu sana, hajkujibu chochote wala hasemi chochote, anakutazama tu uwe unagomba au laa, umekasirika ama laa🐒

ni vizuri mama akajiribu kua mkali dhidi ya tabia hiyo ya kitoto sasa, lakini pia wew kama baba mdogo wake. Mkazie kurekebisha hiyo hali hata kama mamake ana mind but itakua umetekeleza wajibu wako kurekebisha mtoto 🐒

kuna leo na kesho, ya Mungu mengi...
 
Huyu yeye analia kwenye kila kitu..akiangusha kitu vhake analia,akila chakula kikianguka analia,akivaa nguo ikiwa haipit vzur au kiatu analia,akiangalia tv internet ikikata au network ikiwa mbaya analia,.akiwa na ipad likija tangazo /adds analia,..yaan yeye ni kulia tu had abembelezwe
Dah! Hiyo ni case nyingine
 
Back
Top Bottom