Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Ugonjwa kwa kuangalia ipad likija tangazo analia? Ni ugonjwa upi huu mkuu.Kama hana magonjwa basi huyo anadekezwa vibaya sana
Huyu ni madeko tu, dawa ni bakora tu nawaambia. Tena wa kiume huyu.
One man down walahi.