Mtoto wa kiume miaka 6 kulia kila saa bila sababu ya msingi

Kama hana magonjwa basi huyo anadekezwa vibaya sana
Ugonjwa kwa kuangalia ipad likija tangazo analia? Ni ugonjwa upi huu mkuu.

Huyu ni madeko tu, dawa ni bakora tu nawaambia. Tena wa kiume huyu.

One man down walahi.
 
Wapi mleta mada kasema kuhusu ipad mkuu? Kuna wale wenye autism wapo fasta kuwa annoyed
Ugonjwa kwa kuangalia ipad likija tangazo analia? Ni ugonjwa upi huu mkuu.

Huyu ni madeko tu, dawa ni bakora tu nawaambia. Tena wa kiume huyu.

One man down walahi.
 
Ugonjwa kwa kuangalia ipad likija tangazo analia? Ni ugonjwa upi huu mkuu.

Huyu ni madeko tu, dawa ni bakora tu nawaambia. Tena wa kiume huyu.

One man down walahi.
Kabisa fimbo huwa inasaidia na watoto huwa wanasoma akili zetu ukimuendekeza tu shughuli inaanzia hapo.
 
Ni kwel kabisa kaka..sometimes wazaz wanaharibu watoto wenyew...mtoto kama huyu...ila kaka wazungu wanaharibu sana watoto..malezi yao..daah..africa ha survive
 
Ndo kizazi cha upinde kinaandaliwa hivo. Akisha kuwa mkubwa akishikwa na men wenzie atalia...
Akipelekwa shopping atalia...
Akishikwa tracko atalia...
Akiitwa geto atalia...
Akivuliwa... Atalia...
Akipigwa pipe atalia...
Na akiachwa atalia pia...
 
amemuendekeza hakuna ugonjwa wala nini, malezi ya kizungu sio ya kuigwa,
 
Dogo hana shida yoyote .ni anadeka tu..angekua anashida bas hata akicheza au akilala awe analia..ila hua analia pale akiwa amefanya kitu ambacho ahajakipenda..option yake ni kulia
Ana shida ampeleke hospital wamfanyie uchunguzi hasa kitengo Cha akili pale amana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…