Mtoto wa kiume tabia ya kublock watu unaitoa wapi?

Mtoto wa kiume tabia ya kublock watu unaitoa wapi?

Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!

Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Kublock ni haki kama ya kikatiba ya kila mtu.

Ndiyo maana hiyo option ikawekwa.

Sasa kama wewe hutaki kuitumia, hiyo pia ni haki yako.

Ila, usiwanyanyapae wale wanaojitambua wakiona wanaletewa gozigozi wakaitumia.

Utakuwa unalazimisha watu waishi unavyotaka wewe.

Unalazimisha watu wakupende?

Mtoto wa kiume unakasirika kuwa blocked?
 
Back
Top Bottom