Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!
Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari umeachwa!Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!
mkipishana kidogo block!!
Nahisigi n wale dada zetu……
Yaani ufanye mambo ya kipuuzi halafu utegemee sitaku block, aiseeh utasubiri sana. Tofali lazima likuhusu.Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!
mkipishana kidogo block!!
Nahisigi n wale dada zetu……
Sasa kama unafululiza tu Kuwakopa au kuwapiga Mizinga kwanini Wasikubloku ili wapumzike na Kero zako?Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!
mkipishana kidogo block!!
Nahisigi n wale dada zetu……
Aisee mtu mbea na mnafiki hafai ale block tuMiwatu mingine inachukua taarifa zako na kupeleka huku nakule. Kwanini uisiiblock.
Kublock ni haki kama ya kikatiba ya kila mtu.Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!
Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Kim'kaka vipi tena?Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!
Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Wewe ndiyo unaonekana kuwa na matatizo. Wasinge kublock tu bila ya sababu.Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!
Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Jaman sasa neno usiku mwema lina shida gani [emoji23] au mna lugha yenu maalumu?Kama wale mnaotuma mameseji ya kuforward utakuta dume zima kila siku linakutumia usiku mwema au asubuhi njema ni mwendo wa kuyapga block tu.
Akamtakie usiku mwema dada yake huko sio mimiJaman sasa neno usiku mwema lina shida gani [emoji23] au mna lugha yenu maalumu?
Unaonekana una gubu sana wewe,inatakiwa hata salamu usipewe kabisaHuwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!
Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……